The most polite countries in the world, surprise no muslims!

The most polite countries in the world, surprise no muslims!

Hata kwa vipimo hivyo bado South Africa sio wastaarabu
South afrika heshima uwe nayo ukijifanya nunda mbabe dhulumati utapitozwa mapemaaa!
Denmark finland Norway Sweden,Swiss, hakuna ubishi jamaa ustaarabu wa kutosha
🇩🇰 👍 excellent 😄

Ova
 
nchi 25 zilizostaarabika duniani ziko asia, north amerika na Ulaya, afrika kuna nchi moja tu south afrika halafu waafrika wanataka kufukuza Christians.

jamii yenye ukarimu ni jamii ambayo watu wake wanasema asante au kushukuru, samahani, kusalimia, kusaidia wasio jiweza kama walemavu, kuheshimu wengine wote wanawake, wanaume na watoto wanastahili heshima, na mambo kama hayo ...

View attachment 3575201
China, polite?!!!
 
Mbona South Africa watu hawajaacha ujinga? Seriously unatetea maisha ya namna hiyo?
Hata Brazil kuna crime rate
Kama South afrika,lakini wapo kwenye list hapo 😄
Huko watu wana heshimiana

Ova
 
Back
Top Bottom