Alafu kwa dunia ya Leo hata sehemu usipofika. Sio sababu ya kutojua abc za eneo husika
Yani Mimi hapo kwa south Africa nasema hapana.
Na nchi nyingi za Europe Zina ubaguzi sana hapo,sasa sijui ustaarabu gani huo.
Hizi data ni FEKI kabisanchi 25 zilizostaarabika duniani ziko asia, north amerika na Ulaya, afrika kuna nchi moja tu south afrika halafu waafrika wanataka kufukuza Christians.
jamii yenye ukarimu ni jamii ambayo watu wake wanasema asante au kushukuru, samahani, kusalimia, kusaidia wasio jiweza kama walemavu, kuheshimu wengine wote wanawake, wanaume na watoto wanastahili heshima, na mambo kama hayo ...
View attachment 3575201
wewe unaijua south Africa, au unaisikia kwenye magazetiAfrika Kusini, mji pekee ambao una uhalifu ni Johannesburg. Nenda miji kama Capetown au Witwatersrand, kuna ustaarabu wa hali ya juu. Huwezi kulinganisha na huku kwetu.
South Africa Kuna nchi mbili ndani ya nchi Moja. Wanayoizungumzia ni Ile ya makaburu ambako ngozi nyeusi haikanyagi. Hii nyingine ya wazulu walipchanganyikana na mauzs unga na bange kutoka bongo wanakouana kama kuku haitbuliki kimataifaDuuuh!
Yaani South Africa ndio nchi iliyostaarabika kwa hapa Afrika?
Kiwango cha uhalifu kipo Juu sana.
Elewa hili
Uhuru uliopitiliza na uhalifu uliopitiliza ni karibu vinafanana.
Nchi zinazoruhusu ushoga ndio zimestaarabika?
Nchi zinazoruhusu ukandamizaji wa nchi zingine ndio zimestaarabika?
Nchi za kunyonya nchi zingine?
Kwamba Ukristo ni Ubepari?
Hizi data ni FEKI kabisa
kama ungekuwa umetembea kidogo ulimwenguni, Unge delete huu upotoshaji...
Mfano; Ujerumani hadi sasa kuna miji mwafrica hutakiwi utembee peke yako au usiku ndio hatari kabisa.
South Africa; pengine kwa Africa ingekuwa karibu na mwisho
Ireland; mweusi ukitembea unakuwa peke yako hata kusalimia mweupe akuitike utakuwa na bahati...,
nk nk nk
Kwahiyo watu kupigana shaba inakuwa ustaarabu?Uhalifu kama kuuana kumeleta heshima baina ya mtu na mtu huko SA myu hawezi kumtukana au kumdhalilisha mwenzie hovyo hovyo maana utakula shaba. Hii inefamya watu kuwa polite bila kupenda. Kuna jamaa Msouth Africa aliona vurugu za magari Dar na watu kuvunjiana heshima akasema tatizo kubwa hapa Tz hamuheshimiani kwasababu hamuuani. Hawa wajinga SA wangekuwa washakula shaba.
Kwa hiyo ukienda Ujerumani ukabaguliwa, hilo halihusiani na ukarimu wa kupenda wageni?inahusiana nini na ukarimu? nafikri unachanganya mambo, ukarimu ni kujitambua vs ujinga ambao ni inferiority complex, hivyo ni vitu viwili tofauti, kwa mfano wajapani ni wakarimu lkn siyo wajinga, watanzagiza ni wajinga wana inferiority complex wanachanganya na ukarimu, kumpendelea zaidi mgeni klk watoto na familia yako huo siyo ukarimu bali ni ujinga na low iq, usichanganye, kama huko wanawinda "watu weusi" kama ulivyosema wana sababu zao for sure mtu (wa kawaida) hawezi kukuchukia tu bila ya sababu kwa mfano hata tanzagiza tulipaswa tuwawinde mafisadi wanaotubia na kutugeuza watumwa kwenye nchi yetu wenyewe lkn tunawaabudu na hata kuwatetea, sasa hivi hapa ukianzisha mada ya ufisadi wa rostamu au sijui dewji watakusshambulia siyo wahindi au irani bali ni watumwa watanzagiza ambao ndiyo victims namba 1 wa wizi wa mafisadi, hivyo usichanganye mambo ...
Ongeza na kuibiana nyeti😂😂south afrika hakuna uhalifu zaidi ya tanzagiza, tofauti tu ni kwamba sababu ya maendeleo kila kinachotokea kinaripotiwa polisi na kuingizwa kwenye takwmiu, hili ni kuanzia aliyepigana na rafiki yake kitaa mpaka uahlifu mkubwa vyote vinaripotiwa vs tanzagiza kuna mambo mengi yanatokea yanaishia huko huko kama hakuna influencer aliyenasa na kutupia mtandanoni hakuna atakayejua, ndiyo maana unasikia kwamba south afrika kuna uhalifu sana, lkn tanzagiza kuna uhalifu zaidi ukianzia kuibiana ngombe, kutekana, kuuwa wazee kwa sababu ya ushirikina, kuuwa watoto wenye ulemavu wa ngozi na kuwakata viungo, wizi wa mifumkoni, ramadhani, kupiga watoto mpaka wengine wanafariki ...
Kwa hiyo ukienda Ujerumani ukabaguliwa, hilo halihusiani na ukarimu wa kupenda wageni?
Kwa hiyo ukifika south africa ukabaguliwa na kufukuzwa huko sio kukosena kwa ukarinu?
Hivi ni raia kiasi gani wa mataifa mengine wapo Japan ili tuweze kuupima ukarimu wao?
Africa tuna matatizo yaliyosababishwa na ukoloni'
Hadi leo tuna mentality za kikoloni na baadhi ya viongozi wa kiafrica wanatumia nguvu kubwa kuhakikisha ile mentality ya kikoloni inaendelea ile waendelee kutawala bila bughdha kama miungu watu....
Kusema Tanzania ina uhalifu kuliko South Africa ni uongoooooosouth afrika hakuna uhalifu zaidi ya tanzagiza, tofauti tu ni kwamba sababu ya maendeleo kila kinachotokea kinaripotiwa polisi na kuingizwa kwenye takwmiu, hili ni kuanzia aliyepigana na rafiki yake kitaa mpaka uahlifu mkubwa vyote vinaripotiwa vs tanzagiza kuna mambo mengi yanatokea yanaishia huko huko kama hakuna influencer aliyenasa na kutupia mtandanoni hakuna atakayejua, ndiyo maana unasikia kwamba south afrika kuna uhalifu sana, lkn tanzagiza kuna uhalifu zaidi ukianzia kuibiana ngombe, kutekana, kuuwa wazee kwa sababu ya ushirikina, kuuwa watoto wenye ulemavu wa ngozi na kuwakata viungo, wizi wa mifumkoni, ramadhani, kupiga watoto mpaka wengine wanafariki ...
Ndio nashangaa hapa 😂😂Africa yakusini imestaharabika?
Bora kugombana bila kuuana. Utagombana na mtu, yataisha maisha mengine yanaendeleaUhalifu kama kuuana kumeleta heshima baina ya mtu na mtu huko SA myu hawezi kumtukana au kumdhalilisha mwenzie hovyo hovyo maana utakula shaba. Hii inefamya watu kuwa polite bila kupenda. Kuna jamaa Msouth Africa aliona vurugu za magari Dar na watu kuvunjiana heshima akasema tatizo kubwa hapa Tz hamuheshimiani kwasababu hamuuani. Hawa wajinga SA wangekuwa washakula shaba.
Ila South Africans are so rude. Wanauana na hata huo uungwana bado hawanaKama ukiwa kichwa ngumu unanyooshwa na unanyooka. Unakuwa muungwana bila kupenda. Bottom line uungwana upo. Hata enzi zetu tulipigwa viboko na tukawa na heshima.
Kusema Tanzania ina uhalifu kuliko South Africa ni uongoooooo
Mkuu, tatizo linaanza watu wameishi sehemu zote mbili Tanzania na South Africa, results are always the sameinategemea, kama nilivyoandika siyo kila uhalifu tanzagiza unaripotiwa vs ak kila uhalifu unaingia kwenye takwimu, ni kama njaa tu, watanzagiza watakwambai hakuna njaa tanzagiza na hata wanacheka na kukejeli nchi nyingine lkn hawajui kwamba tanzagiza watu wengi wanaenda kulala bila ya kula chochote ni swala la takwimu tu, kuna watu wengi tanzagiza serikali haijui kabisa hata kama wanaishi, kuna watu wanakufa wanzikwa serikali haijui chochote na hakuna recodi popote labda ukaulize majirani ndiyo watakwambi yea alishashakufa tukamzika alipigwa na na kundi la watu, hiyo ni kawaida tanzagiza vs nchi nyzingine kila murder, kila uhalifu na kila kifo kinarekodiwa ...
Kustaariba sio ukosefu wa uhalifu tu, never parameters ni nyingi.Uhalifu, mambo ya morality ni sehemu ndogo ya ustaarabu.Duuuh!
Yaani South Africa ndio nchi iliyostaarabika kwa hapa Afrika?
Kiwango cha uhalifu kipo Juu sana.
Elewa hili
Uhuru uliopitiliza na uhalifu uliopitiliza ni karibu vinafanana.
Nchi zinazoruhusu ushoga ndio zimestaarabika?
Nchi zinazoruhusu ukandamizaji wa nchi zingine ndio zimestaarabika?
Nchi za kunyonya nchi zingine?
Kwamba Ukristo ni Ubepari?
Mkuu, tatizo linaanza watu wameishi sehemu zote mbili Tanzania na South Africa, results are always the same
South Africa kuna uhalifu sana, na South Africa inashindana kabisa na Western countries inapokuja suala la uhalifu. Hata sio level moja na nchi nyingine za Africa
Hata kwa vipimo hivyo bado South Africa sio wastaarabuKustaariba sio ukosefu wa uhalifu tu, never parameters ni nyingi.Uhalifu, mambo ya morality ni sehemu ndogo ya ustaarabu.
Ustaarabu mfano ni KUKUBALI KUBADILISHANA UONGOZI bila vita, magomvi, mauaji.Uhuru wa watu kuamua mambo yao kwa mujibu wa sheria.Kuwajibishana kwa miongozo ya kisheria, hata kama kuna majambazi, yakamatwe yawekwe ndani.
Nchi za Africa na Uarabuni 99.9% hakuna ustaarabu
Uliwahi kuwa Muislam ukawa huko behind the closed doors?Waislam wengi wema wao uko mdomoni Tu behind the closed doors ni watu wabadi