nchi 25 zilizostaarabika duniani ziko asia, north amerika na Ulaya, afrika kuna nchi moja tu
south afrika halafu waafrika wanataka kufukuza Christians.
jamii yenye ukarimu ni jamii ambayo watu wake wanasema asante au kushukuru, samahani, kusalimia, kusaidia wasio jiweza kama walemavu, kuheshimu wengine wote wanawake, wanaume na watoto wanastahili heshima, na mambo kama hayo ...
View attachment 3575201