The Most powerful countries in the world: Kenya is number 3 in Africa and 52 in the world

Nilifikiri wa kwanza kumbe wa 52, mnapewa sifa ili muendelee kuibiwa shitukeni jamani majirani
Namba 3 Afrika...tulishtuka kitambo Sana ndio maana tupo hapo majirani.
 
Sasa hiyo powerful mnaipata wapi kama hata uhakika wa msosi hamna?
Wale wahuni walioingia kwenye super market ingekuwa Tanzania asingetoka hata mmoja lakini walianza nao eti saa 8 mpaka usiku yani kiukwel jesh la Kenya ni sawa na huku kwetu Askari wale wa barabarani
 
Watu elfu ishirini wanadetermine vp hatma ya dunia
View attachment 1487055View attachment 1487055
I know your education system is not strong and you rely on village rumors and women gossip to learn but I will teach you something important today.
There is a subject called mathematics (I know it is quite a mouthful for a Tanzanian) but this subject enables you to analyze abstract patterns using numbers. In this subject there is a topic called statistics, now in statistics it is sometimes impossible to get the opinion of everybody ie the population. so these mathematicians do witchcraft(a word you understand and a craft you practise) by taking a smaller part of the population called a sample and studying the data using this sample then extrapolate it to the population.
That is why you get the 20,000 sample because it is not possible to get the opinion of all 7 billion people in the world.
I hope my explanation at primary school level has done something to shine some light in the academic graveyard that is your education system. Kind Regards
 
acheni basi kuonea wenzenu...hasa watz...wakenya mkiwa nje mnajifanya hamuijui Tanzania, kitu kizuri kikitokea Tanzania...mnasema sio kweli, Hakikutokea Tanzania bali Kenya. Rekebisheni hapo tu....
 
You sound stupid and ignorant.. so the sample size for 7.8 bilioni people is 20,000 and and four region in a certain beberu country..that size won't be enough even if that stupid research could have been done across EAC....your stupidity is of highest decrease.
 
Tanzania haijulikani kuliko Kenya kaka... Hata ukiuliza watu dunia yote 7.8billion..matokeo itakuwa yale.. Kenya itakuwa juu..

If you understand statistics, you should be arguing how the 20000 sample was selected, not the sample size first.
 
Tanzania haijulikani kuliko Kenya kaka... Hata ukiuliza watu dunia yote 7.8billion..matokeo itakuwa yale.. Kenya itakuwa juu..

If you understand statistics, you should be arguing how the 20000 sample was selected, not the sample size first.
Wrong sample size wrong data...sample must represent population.
Ishu hapo vyote Ni wrong..size and location..and report pia..report inasema world..wakati sample imechukuliwa only in four regions of the same country..
 
We punch above our weight. Tuko mbele ya Nigeria na Morocco. Tuko sawa. Hata hawapo kwenye list.
Mtakuja kupasuka msamba majirani, ule mzigo anaoushusha tembo ni kulingana na mwili wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…