Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
itoshe kusema we ni finyofinyoWe kiBAka, hapa tunaongelea ujambazi unaofanywa na hii serikali ya CCM, akili yako iko sawa sawa kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
itoshe kusema we ni finyofinyoWe kiBAka, hapa tunaongelea ujambazi unaofanywa na hii serikali ya CCM, akili yako iko sawa sawa kweli?
🙏![]()
Chawa wa mama Samia na panya road wa mali za umma hampendi kuguswa kabisa, basi sawaitoshe kusema we ni finyofinyo
Bado ujachelewa Mkuu unaweza anza hata sasa hiviAsante mkuu kwa kutufungua macho, nimejiona mjinga sana niliishi sehemu yenye mifereji ya asili nikashindwa kufuga
Du. Hivi ukitaka kuingia kwenye biashara ya kuuza nyama hufanyi market research ya soko? Kwa sababu watu wanakula nyama basi una assume kuwa lazima soko litaendana na supply yako? Umenishtua sana.Acha ujuaji ndugu. Hivi kweli unaweza kuuliza soko la nyama ya ng'ombe kwa mfano? Wewe fuga tu, wanunuzi ni masoko ya ndani na madalali. Tena wanakufuata huko huko shambani kwako.
What is your point?we leta elimu zako uku kama hukuitwa mzee masaki kwa kudodewa na mzigo sokoni
Hao samaki artificial, watakuwa na virutubisho kweli, si ni kama broilers tuHabari zenu wakuu
Kwanini na amini biashara ya ufugaji samaki ni fursa nzuri kwa mtu anayetaka kuwekeza?
Ni kwa sababu kuna upungufu mkubwa wa samaki kwenye vyanzo vya asili vya maji, wakati huo huo kuna ongezeko kubwa la idadi ya watu Duniani. Idadi ya watu duniani inaendelea kuongezeka, mahitaji ya samaki yanaongezeka, ambayo yanaweka shinikizo kwenye natural fish stock katika vyanzo vya maji kama bahari, maziwa na mito, hali hii inafanya mahitaji ya samaki kuwa makubwa kuliko uzalishaji/uzalishwaji wa samaki.
Sababu nyingine zinazo changia upungufu wa samaki ni uhalibifu wa mazingira ya samaki, mabadiliko ya hali ya hewa na uvunaji wa kupita kiasi (Over fishing) hii hutokea wakati samaki wanavuliwa kwa kasi zaidi kuliko wanavyoweza kuzaliana, sababu hizi kwa ujumla wake zimesababisha kupungua kwa idadi ya samaki na kupelekea matokeo hasi ya kiuchumi, kijamii, na kimazingira.
As we know ''In the world of scarce resource, globalization without new technology is unsustainable'' Wazungu wametuletea hii kitu waita ''Aquaculture Technology'' kama njia mbadala ya kukabiliana na upungufu wa Samaki kwa kutambua umuhimu wa samaki kama one of the best protein source.
Ufugaji samaki kibiashara ni fursa na njia ya pekee inayoweza kutatua changamoto kwa kuzalisha samaki kulingana na mahitaji ya watu na kutunza mazingira by decreasing fishing pressure on natural water bodies. Ufugaji wa samaki (aquaculture) unatoa fursa mbalimbali kwa wajasiriamal/wawekezaji kwa sababu unaweza kufanywa katika mazingira mbalimbali ikiwa ni pamoja na kwenye mabwawa, ziwani, baharini au kwenye tanki.
Maendeleo katika teknolojia, utafiti na support ya Serikali vinaendelea kuboresha ufanisi na kuchagiza maendeleo ya ufugaji wa samaki, hivyo kuwa eneo la kusisimua kwa wuwekezaji na ujasiriamali. Kwa ujumla, ufugaji wa samaki unatoa fursa ya pekee kwa wakulima na wajasiriamali kukidhi mahitaji yanayoongezeka ya samaki na kuunda biashara endelevu na yenye faida.
Samaki wanaofugwa kwa Tanzania ni Sato na Kambare, lakini wenye soko na waopendwa zaidi na watu wengi ni Sato (Tilapia). Mimi ni mtaalamu wa ufugaji wa samaki, I'm an aquaculture expert and i have been working in this industry for years now (almost 3 years) nina ifahamu vizuri hii industry in and out, hapo mwanzo nilikuwa farm manager ila kwa bahati mbaya mradi niliokuwa nikiusimamia mwanzo umesiamama kutokana na Muwekezaji wangu kupata matatizo.
Kwa sasa sijishughulishi moja na ufugaji samaki, nafanya kazi kwenye Kikampuni cha Utalii inayoniwezesha kusurvive lakini kutoka ndani ya moyo wangu natamani kurudi kufanya kazi ya taaluma yangu kwa sababu ndio kazi ninayoipenda na ndio kazi ambayo naweza kuifanya kwa moyo, ufanisi na weredi zaidi.
Changamoto kwangu ni mtaji, ni kweli ujuzi pamoja na uzoefu ninavyo lakini sina mtaji wa kutosha kuinitiate project kubwa, naomba nitumie platform hii kutafuta/kuwasiliana/kuungana/kuunganishwa na mtu atakayekuwa tayari kuwekeza kwenye biashara hii inayokuwa kwa kasi sana Tanzania na Duniani kwa ujumla.
Ninatafuta mwekezaji mwenye interest/passion na biashara ya aina hii ili nishirikiane nae, roho inaniuma kuona nina ujuzi na uzoefu wakutosha, mimi ni mtu mwenye potential lakini nasikitika nashindwa kumika inavyotakiwa pamoja na juhudi ninazofanya ili nikutane na wadau wanaoweza kunitumia.Nikipata sehemu au mtu sahihi na amini tunaweza kujenga biashara ya ufugaji wa samaki yenye mafanikio na yenye faida.
Ikiwa pia unamradi wako na unahitaji msimamizi mwenye uzoefu na weredi au unavutiwa kujifunza zaidi kuhusu kazi yangu na njia yangu ya ufugaji wa samaki, tafadhali usisite kuwasiliana na mimi. Nitafurahi kujadili fursa hii zaidi ili kuona jinsi tunavyoweza kufanya kazi pamoja kujenga biashara endelevu ya ufugaji wa samaki.
Samahani kama kuna makosa ya kiuandishi, nimeandika kwa haraka bila kuipitia vizuri, mimi sio hodari sana kwenye uandishi ila ni mtendaji hodari.
Mawasiliano and more details nitafute kupitia namba zifuatazo;
What'App no; +255758779170
Huko unapofanya kazi za utalii, umeshindwaje kupata hata milioni moja?Inategemea na resource ulizonazo lakini kwa uzoefu wangu minimum capital ni milioni moja
Mimi pia nafanya Ila sio kwa ukubwa ninaotaka kufanyaHuko unapofanya kazi za utalii, umeshindwaje kupata hata milioni moja?
Ungeandika bisiness plan kisha ufanye fund rising kana TALA au mr kuku.Habari zenu wakuu

Mkuu business plan nimeandika Sana Hadi kufikia Sasa hivi Ila hela kutoka ndio imekuwa mtihaniUngeandika bisiness plan kisha ufanye fund rising kana TALA au mr kuku.
Je ulishaji samaki sio ghali?
Je naweza kufuga samaki kiasili wakajilisha wenyewe kwa ecosystem kwenye bwawa dogo. Ninashamba lipo karibu na mto natamani niweke bwawa walau dogo kulisha familia yangu na wanakijiji wachache.
Je Baridi ya Njombe samaki tilapia anaimudu?
Sitaki kufanya kiutalaamu sana. Nataka bwawa dogo la kulisha familia tu sio biashara. Mimi kwetu mwisho wa reli nimezoea samaki sipendi nyama, huku Njombe kupata samaki hasa fresh ni ishu na ghali kidogo, sasa nataka nifuge wakula mimi hata kilo tano kwa mwexi sio mbaya.Nina eneo lipo mtoni kabisa na maji mda wote. Nitafuata ushauri wako.Mkuu business plan nimeandika Sana Hadi kufikia Sasa hivi Ila hela kutoka ndio imekuwa mtihani
Ulishaji wa samaki ni ghali Kama ukiwalisha kula cha kununua kutoka kwa supplier wanaoagiza kutoka nje Ila kama ukitengeneza mwenyewe gharama zake sio kubwa ni Kama tu gharama za kulisha kuku, ingredients ni Hizi Hizi za kawaida dagaa/uduvi, Pumba za mahindi/mchele, mashudu ya pamba/alizeti n.k unasaga na kuwalisha kikiwa kwenye powder form au pellets....
Kufuga samaki kiasili pia inawezekana, muhimu ni kurutubisha bwawa na kuweka idadi ya samaki sawa sawa na kiasi cha chakula kinachozalishwa kwenye hayo mazingira
Ndio inawezekana maeneo mengi ya Tanzania mazingira yake Yana ruhusu ufugaji samaki
Tuna weza tukafanya kitu Mkuu, unaweza ukinipigia tukaongea kwa kina ujue unaanzia wapi
Karibu
Ndio pia inawezekana, muhimu ni kutengeneza drainage system ili iwe rahisi kwako kubadilisha maji pale inapotokea yamechafukaJe wale sanski wansofugwa kwenye pipa ni sahihi?
Inawezekana ufuagi wa samaki hauna utofauti Sana na ufugaji wa kuku, changamoto ni kuwa hatuna utamudi huo Ila kwa nchi za Asia ni Jambo la kawaidaSitaki kufanya kiutalaamu sana. Nataka bwawa dogo la kulisha familia tu sio biashara. Mimi kwetu mwisho wa reli nimezoea samaki sipendi nyama, huku Njombe kupata samaki hasa fresh ni ishu na ghali kidogo, sasa nataka nifuge wakula mimi hata kilo tano kwa mwexi sio mbaya.Nina eneo lipo mtoni kabisa na maji mda wote. Nitafuata ushauri wako.