The Network: Abdul kiungo muhimu kati ya Rostam Aziz na Mukhsin Patel upande mmoja na Sameer Karim Alibhai na W. Salum upande mwingine

The Network: Abdul kiungo muhimu kati ya Rostam Aziz na Mukhsin Patel upande mmoja na Sameer Karim Alibhai na W. Salum upande mwingine

Ila ifike mahali Mzee wa Msoga ajitafakari na kuona namna alivyotenda sivyo enzi zake kwa mikataba ya kishezi na kifisadi akishirikiana na hawa watu!

Bado anaendelea kushirikiana nao ktk ambo ya kifasadi na wizi kila uchwao bila kujali kuwa analipwa mabilioni kwa kodi za wananchi anaowadhulumu!

Wazee wenye hekima akina Butiku, Warioba na Pinda hebu mkemeeni huyu mtu kwani tunaona Usalama nao wako ndani ya "mtego"
 
Wewe ni Ex-spy, unaweza kufanya jambo na kuiokoa jamii yote baadala ya kukaa na kupoteza muda wa kudocument matendo mabaya ambayo yanaharibu maisha ya watu kila kukicha na hata kuhatarisha Taifa letu na vizazi vyake.

Siku zinakwenda, damage inadhidi kuwa kubwa, itafika mahala itakuwa uncontrollable, it's better to act now rather than waiting tomorrow.
 
Kuna mambo mengi yatafunuka ndani ya siku chache zijazo kuhusiana na huu mtandao.

Kwanini tunarudishwa kwenye ujinga uleule?

Rostam, you can do better than this! Enzi za JK hukujifunza mzee?

Elewa kuwa kila hatua, kila kinachofanyika - viko well documented. Ni suala la muda tu.
Mkuu weka hapa taarifa iliyoshiba kuonyesha hiko usichotaka tukijue ila unataka tukijadili hapa. Hatuwezi kuwa washirika nawe kwenye chuki zako binafsi!!! Tupe hiyo documentation au documentary ili tuichambue hapa!! Acha porojo na chuki zako huko!!!
 
Tunashobokea sana hawa waasia na waarabu waliojivika ngozi ya utanzania lakini ni miongoni wa watu wanaoitia hasara sana hii nchi na kuifanya kuwa masikini.

Watu hawa kwa kiasi kikubwa wanashirikiana na ndugu zetu kwenye mamlaka kulainisha mambo Yao lakini hasara zake ni kubwa sana dhidi ya maisha ya watu wengi waliopaswa kunufaika.
 
Back
Top Bottom