The Network: Abdul kiungo muhimu kati ya Rostam Aziz na Mukhsin Patel upande mmoja na Sameer Karim Alibhai na W. Salum upande mwingine

Ndiyo maana nikasema walifanya hivyo kimaslahi zaidi. Magufuli mwenyewe alikuwa haheshimu katiba. Samia naye hivyo hivyo.
Hao walitaka kufanya uhaini hawapaswi hata kuwa sehemu ya mijadala ya umma.

Ni bahati mbaya nchi haina mwelekeo mzuri tu ndiyo maana kuna baadhi mnawafikiria kwenye list ya heros
 
Hao walitaka kufanya uhaini hawapaswi hata kuwa sehemu ya mijadala ya umma.

Ni bahati mbaya nchi haina mwelekeo mzuri tu ndiyo maana kuna baadhi mnawafikiria kwenye list ya heros
Na ndivyo inavyokuwaga. Nchi inapokosa mwelekeo, watu hupima unafuu kwa ubaya. Yaani mwenye kufanya ubaya wenye nafuu ndiyo anaonekana kama shujaa. Magufuli aliharibu sana na mengi ya mabaya tunayopitia sasa hivi yako related na utawala wake. Suluhisho ni mfumo kubadilishwa tu na preferably tuwe na waziri mkuu mtendaji na rais mwenye majukumu limited, lakini la muhimu ni uhuru wa kuchagua na kuchaguliwa.
 
CCM wakiendelea kutawala wataharibu nchi hawaongozwi na itikadi tena bali wanaongozwa na maslahi ya magenge yao ndani ya chama na wafanyabiashara.
Tunaelekea Venezuela, Haiti au Mexico muda utasema
 
Mama kabadili wakurugenzi ndani ya tiss, Kuna data zinavuja
 
Mzanzibar huyo wewe.Kwani Wazanzibari huku bara wapo wengi na wamekuwa kama wazawa.Baba yake ni Mzenji pure .Huyo Waziri hata shule alienda kurudia Zanzibar.
Ni mwenyeji wa Morogoro aliyekimbilia Zanzibar sababu ya kuwa Mwalimu wa dini na akatoboa kutokea huko na watu wanajua ni Mtu wa Zanzibar, kwao ni hapo Morogoro, maeneo ya mji mpya
 
Yeye mwenyewe anaogopa kurudi nchini anaona bora abaki Scotland
 
Nani wakutunga hizo sheria? Ukiangalia kwa makini unaona bado tuna safari ndefu. Kiujumla hatupo serious
Hakuna ajuaye Magufuli (sitaki kusikia ukichaa wake), alitokea wapi, mkuu 'Shadow'.
Watu wapo miongoni mwetu, tatizo tu ni hiyo bahati ya kuwaopoa na kuwapa madaraka hayo.

Kwa hiyo hapa nikiri wazi, tutegemee bahati nasibu hiyo.

Hivi Mwalimu Nyerere alipatikana vipi?

Nazungumzia watu wanaoumia moyo kwelikweli wanapoona nchi yao hii Tanzania ikinajisiwa kiasi hiki. Inauma sana.
 
Mungu aingilie kati maana ni huzuni sana
 
Hebu ngoja kwanza.

Nilikusoma mara ya kwanza, nikakaa kimya roho ikisononeka kuhusu haya uliyo yaandika..., nikaona niende zangu...
Hayakunitoka akilini haya maneno yako..., nikawaza; Hivi Magufuli alipokuwepo, watu wa aina hii walitokomea wapi, sikuwasikia sana!

Kwa hiyo, 'it's not a hopeless thought' kuwakomesha washenzi wa namna hii.. Acha watambe, huu ni wakati wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…