BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Toto la Mjini JK 🤣🤣 HeheheeNchi ambayo mwizi wa mali za umma anaitwa mtoto wa mjini...
Kibaka Mwandamizi 🙈🙈
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toto la Mjini JK 🤣🤣 HeheheeNchi ambayo mwizi wa mali za umma anaitwa mtoto wa mjini...
Hao walitaka kufanya uhaini hawapaswi hata kuwa sehemu ya mijadala ya umma.Ndiyo maana nikasema walifanya hivyo kimaslahi zaidi. Magufuli mwenyewe alikuwa haheshimu katiba. Samia naye hivyo hivyo.
Aiseeee!Kwani ameshashinda uenyekiti ccm Tabora!!?
Na ndivyo inavyokuwaga. Nchi inapokosa mwelekeo, watu hupima unafuu kwa ubaya. Yaani mwenye kufanya ubaya wenye nafuu ndiyo anaonekana kama shujaa. Magufuli aliharibu sana na mengi ya mabaya tunayopitia sasa hivi yako related na utawala wake. Suluhisho ni mfumo kubadilishwa tu na preferably tuwe na waziri mkuu mtendaji na rais mwenye majukumu limited, lakini la muhimu ni uhuru wa kuchagua na kuchaguliwa.Hao walitaka kufanya uhaini hawapaswi hata kuwa sehemu ya mijadala ya umma.
Ni bahati mbaya nchi haina mwelekeo mzuri tu ndiyo maana kuna baadhi mnawafikiria kwenye list ya heros
CCM wakiendelea kutawala wataharibu nchi hawaongozwi na itikadi tena bali wanaongozwa na maslahi ya magenge yao ndani ya chama na wafanyabiashara.Na ndivyo inavyokuwaga. Nchi inapokosa mwelekeo, watu hupima unafuu kwa ubaya. Yaani mwenye kufanya ubaya wenye nafuu ndiyo anaonekana kama shujaa. Magufuli aliharibu sana na mengi ya mabaya tunayopitia sasa hivi yako related na utawala wake. Suluhisho ni mfumo kubadilishwa tu na preferably tuwe na waziri mkuu mtendaji na rais mwenye majukumu limited, lakini la muhimu ni uhuru wa kuchagua na kuchaguliwa.
La chuoUmeishia LA ngapi mkuu?!
Nguvu ya kuwa donor country hakuwa nayo. Ni maneno ya kupumbaza watu.
Kukataa mgombea mwenza kulihitaji nguvu gani?
Kwa hasira zile ilikuwa lazima avuteHilo lilikuwa wazi kitambo sana
Mama kabadili wakurugenzi ndani ya tiss, Kuna data zinavujaKuna mambo mengi yatafunuka ndani ya siku chache zijazo kuhusiana na huu mtandao.
Kwanini tunarudishwa kwenye ujinga uleule?
Rostam, you can do better than this! Enzi za JK hukujifunza mzee?
Elewa kuwa kila hatua, kila kinachofanyika - viko well documented. Ni suala la muda tu.
CCM ni maadui wa nchi.CCM wakiendelea kutawala wataharibu nchi hawaongozwi na itikadi tena bali wanaongozwa na maslahi ya magenge yao ndani ya chama na wafanyabiashara.
Tunaelekea Venezuela, Haiti au Mexico muda utasema
Ni mwenyeji wa Morogoro aliyekimbilia Zanzibar sababu ya kuwa Mwalimu wa dini na akatoboa kutokea huko na watu wanajua ni Mtu wa Zanzibar, kwao ni hapo Morogoro, maeneo ya mji mpyaMzanzibar huyo wewe.Kwani Wazanzibari huku bara wapo wengi na wamekuwa kama wazawa.Baba yake ni Mzenji pure .Huyo Waziri hata shule alienda kurudia Zanzibar.
Yeye mwenyewe anaogopa kurudi nchini anaona bora abaki ScotlandWewe ni Ex-spy, unaweza kufanya jambo na kuiokoa jamii yote baadala ya kukaa na kupoteza muda wa kudocument matendo mabaya ambayo yanaharibu maisha ya watu kila kukicha na hata kuhatarisha Taifa letu na vizazi vyake.
Siku zinakwenda, damage inadhidi kuwa kubwa, itafika mahala itakuwa uncontrollable, it's better to act now rather than waiting tomorrow.
Kwa nchi kama Tanzania, hiyo ndiyo dawa pekee ya upuuzi huu unaofanywa na hawa washenzi.Sheria zetu ni mbovu hawa wahuni ilibidi wawajibishwe kama China wanavyofanya kwa mafisadi
Nani wakutunga hizo sheria? Ukiangalia kwa makini unaona bado tuna safari ndefu. Kiujumla hatupo seriousKwa nchi kama Tanzania, hiyo ndiyo dawa pekee ya upuuzi huu unaofanywa na hawa washenzi.
Hakuna ajuaye Magufuli (sitaki kusikia ukichaa wake), alitokea wapi, mkuu 'Shadow'.Nani wakutunga hizo sheria? Ukiangalia kwa makini unaona bado tuna safari ndefu. Kiujumla hatupo serious
Mungu aingilie kati maana ni huzuni sanaHakuna ajuaye Magufuli (sitaki kusikia ukichaa wake), alitokea wapi, mkuu 'Shadow'.
Watu wapo miongoni mwetu, tatizo tu ni hiyo bahati ya kuwaopoa na kuwapa madaraka hayo.
Kwa hiyo hapa nikiri wazi, tutegemee bahati nasibu hiyo.
Hivi Mwalimu Nyerere alipatikana vipi?
Nazungumzia watu wanaoumia moyo kwelikweli wanapoona nchi yao hii Tanzania ikinajisiwa kiasi hiki. Inauma sana.
Hebu ngoja kwanza.Even if it’s well Documented so what 🙄?
They are also well prepared for anything to come whatsoever 😳
Shamba la Bwana Heri ………
Umemention enzi za JK , kwani kipi kimefanyika mpaka saa hii ?
Na kipi unafikiri kitafanyika baada ya hicho ulichokisema- ni suala la muda tu ???😳🤠🤠ðŸ¤