sawa Endelea kuturushia mambo, ni dk ya ngapi?simba anaongoza moja okwi kafunga..
Ok!! vp lkn, speed ya mchezo ikoje; burudani hipo au ndo butuabutua ikiwemo na kukamiana.HT sasa hivi..
sawa endelea: Man U 2 Liva 1 dk ya 85Simba 2 Azam 0. Emmanuel Okwi tena ! Dakika kama ya 23 hivi kipindi cha pili.
Simba 2 Azam 0. Emmanuel Okwi tena ! Dakika kama ya 23 hivi kipindi cha pili.