The Official Azam FC Thread

gemu imeisha kwa kuipa kichapo yanga na kuzawadiwa red mbili kwa kujifanya kina matumla..
 
Naona mmekuja kutuharibia soka na hela zenu za icecream. Kwa aliyekuwepo uwanjani yule refa ni aibu kwa soka la tz
 
Naona mmekuja kutuharibia soka na hela zenu za icecream. Kwa aliyekuwepo uwanjani yule refa ni aibu kwa soka la tz

pole sana mkuu kwa nini mkifungwa lawama mnapeleka kwa refa au ndio excuse yenu kwa mashabiki wenu mwaka huu subirieni mshindi wa tatu..
 
pole sana mkuu kwa nini mkifungwa lawama mnapeleka kwa refa au ndio excuse yenu kwa mashabiki wenu mwaka huu subirieni mshindi wa tatu..

ninachofhm mimi azam hainamashbk,mashabk wake ni masecretary na wafgia vyoo make wasiofahm mpira ni nn.wengine ni mashbk wakunnua kama nyie mnaolipiwa nauli hd tiketi za uwanjani na bakhresa. Huyo muindi amebkiza jambo moja tu, KUWAFIRA
 
usiongee shit mbona hutaki kukubali ukweli kwa sasa sisi ni wazuri kimpira kifedha kila kitu ila sio majungu na uchawi kama wewe unaefikiria kuliwa ndogo aisee..
 
leo uwanjani
game: azam fc v ruvu shooting
venue: chamazi stidium
time: 16:00 PM
 
kikosi cha leo
GK: mwidini
defenders: erasto waziri luckson aggrey
midfielders: kipre bolou mwaipopo abdi sureboy
strikers: k tchetche bocco
 
kona ya pili wanapata azam fc

oya ndetichia inamaana wewe ndio unaipenda sana Azam, maana naona thread yote imejaa comment zako! Yaani muda mwingine unaamua kujijibu mwenyewe, ngojea na mimi nikuunge katika soka la bongo tushabikie wote Azam, au sio! Japokuwa soka la bongo halina mvuto ni bora mjifungie ndani na demu wako mkacheze kidali po kuliko kufuatilia soka la bongo!
 
pole sana mzee wa kijiba cha roho utakonda bure kiumbe weye...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…