The Official Azam FC Thread

jeshi la leo: Mwadini Ally, Erasto Nyoni, Waziri
Salum, Aggrey Morris, Said Moradi,
Kipre Bolou, Mrisho Ngasa, Salum
Abubakar, John Bocco, Abdi
Kassim na Kipre Tchetche

azam 1 - 1 Jkt ruvu..
 
j bocco anaipatia azam fc goli la pili..
 
kipre anaipatia azam goli la tatu..
 
ngassa anaipatia azam fc goli la nne..
 
@Ndetichia...

Watu wanalalamika sana kwamba Azam mnabebwa na mfano mzuri ni leo ambapo Refa ameonekana kuibeba Azam kiasi cha kumtoa kwa kadi nyekundu mchezaji wa Ruvu kwa kisingizio kwamba kacheza rafu ambayo haina kichwa wala miguu.....Baada ya Ruvu kudhoofishwa na Refa Azam wakapata upenyo wa kufunga magoli yote manne...

Inasikitisha sana......
 

ukiwa nyumba lazima upewe feva kiaina hata wao mzunguko wa kwanza walibebwa kiasi cha kushindwa kushinda wakasahau kuwa muosha huoshwa..
 
simba B 1 - 2 Azam Academy leo katika uwanja wa karume..
 
azam academy yashinda huko visiwani zanzibar..
BZL 0 - 1 Azam Academy..
 
leo uwanjani

Game: Polisi Dom v Azam FC
Venue: Jamhuri Dom
Time: 16:00 PM

viva la azam fc
 
Kuna ujanja mkubwa sana unafanywa na Azam kwenye league table kuzihadaa Simba na Yanga. Leo kiongozi mkubwa kabisa wa Azam amesema wamefikisha point 49 (badala ya 50 ambazo ndio halisi) lengo ni kuifanya Simba hasa, na Yanga zibweteke kuwa Azam si tishio kwenye msimamo wa ligi.
 

...na Simba na Yanga nao hawajui kabisa matokeo ya Azam? Kaaz kwel!
 

inamaana wao hawajui nini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…