aboodmsuni
Member
- Jun 24, 2011
- 47
- 3
Dakika 13: AZAM FC 0-1 JKT RUVU (goli 6')
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
@Ndetichia...
Watu wanalalamika sana kwamba Azam mnabebwa na mfano mzuri ni leo ambapo Refa ameonekana kuibeba Azam kiasi cha kumtoa kwa kadi nyekundu mchezaji wa Ruvu kwa kisingizio kwamba kacheza rafu ambayo haina kichwa wala miguu.....Baada ya Ruvu kudhoofishwa na Refa Azam wakapata upenyo wa kufunga magoli yote manne...
Inasikitisha sana......
Kuna ujanja mkubwa sana unafanywa na Azam kwenye league table kuzihadaa Simba na Yanga. Leo kiongozi mkubwa kabisa wa Azam amesema wamefikisha point 49 (badala ya 50 ambazo ndio halisi) lengo ni kuifanya Simba hasa, na Yanga zibweteke kuwa Azam si tishio kwenye msimamo wa ligi.