The Official Azam FC Thread

The Official Azam FC Thread

kipindi cha pili kinaendelea bado
azam fc 1 - 1 rs
 
sasa kama mnashindwa kuwafunga Ruvu na kukaa kileleni je mtaweza kuwafunga Simba ingawa nao ni uharo kama nyie lambalamba?
 
just wait and see..

pole sana kwa kipigo cha moja mi nshapoa tayari..
 
Habari za mechi za Azam FC kupitia AZAM TV bandiko la 25 Oktoba 2012 kuhusu waamuzi wa mpira wa miguu

video kwa hisani ya Khaleed Mohd wa youtube
 
Last edited by a moderator:

pamoko.. sana
 
Last edited by a moderator:

AZAM FC leo 29/10/2012 imemfukuza kazi kocha wao raia wa Serbia, Boris Bunjak a.k.a Boca, ambaye alikuja kurithi mikoba ya Muingereza Stewart Hall ambaye alimaliza mkataba wake mapema mwaka huu 2012.

Boca ambaye amezaliwa mwaka 1954 na ana leseni ya ukocha ya UEFA, alikuwa amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuifundisha Azam.
 
hapo kwa kumrudisha stewart hall wamecheza sana na ulimbukeni ndio ulitaka kutupoteza...

stay tune and dont miss it tomorrow on first november..
 
Attachments

  • azam v cufc.jpg
    azam v cufc.jpg
    52.3 KB · Views: 34
Leo Mchezoni

HT azam fc 3 - 0 coastal union
 
forza hamis mcha viali kwa goli la nne na ni Dk 30 toka kipindi cha pili kianze..
 
FT Azam FC 4 - 1 CUSC magoli toka kwa Hamis mcha Viali 2 G Mwaikimba 1, Kipre 1 na Jerry santo 1 cusc
 
Back
Top Bottom