from Azam FC facebook fanpage..
Mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika, kati ya Azam FC na Barrack YC II itakayochezwa kwenye Uwanja wa ATS, Monrovia nchini Liberia leo usiku itatangazwa moja kwa moja na kituo cha radio cha Kiss FM kuanzia saa 1 kamili usiku, mechi hiyo ilitarajiwa kuonyeshwa moja kwa moja lakini kukosekana kwa mitambo ya Satelite mechi haitonyeshwa! Tuungane Pamoja kuhakikisha tunapata ushindi wa ugenini!