The Official Azam FC Thread

The Official Azam FC Thread

Leo Kombe la Shirikisho

Barrack YC II v Azam FC

itatangazwa na kituo cha redio Kiss FM 89.3 Mhz Dar kwa wale wa dar...

Forza Azam FC!
 
from Azam FC facebook fanpage..

Mechi ya Kombe la Shirikisho Afrika, kati ya Azam FC na Barrack YC II itakayochezwa kwenye Uwanja wa ATS, Monrovia nchini Liberia leo usiku itatangazwa moja kwa moja na kituo cha radio cha Kiss FM kuanzia saa 1 kamili usiku, mechi hiyo ilitarajiwa kuonyeshwa moja kwa moja lakini kukosekana kwa mitambo ya Satelite mechi haitonyeshwa! Tuungane Pamoja kuhakikisha tunapata ushindi wa ugenini!
 
dk 39 barrack 0 - 0 azam

ngoma bado ngumu sana..
 
kipindi cha pili kimeanza..

barrack 1 - 0
 
safi wanalambalamba tunawatakia ushindi
 
Back
Top Bottom