The Official Azam FC Thread

kikosi Mwidini,Erasto,Aggrey,Haji,Moradi,Mwaipopo,Jabir,Redondo,Bocco,Ngassa na Zahoro
 
toto 1 azam bado hawajapata kitu..
 
toto 1 - 1 Azam fc Bocco (penty)..
 
wameshaanza kipindi cha pili..
 
mpira umeisha Toto 1 - 1 Azam fc..
 
Uhai Cup inatarajia kutimua vumbi Jmosi wiki hii hadi 13 December mwaka huu..

habari zaidi gonga Azam Fans Club
 
dk ya 11 M Ngassa kaonesha wachad anaweza..
 
Azam FC B 2 - 1 Kagera sugar B
katika Uhai Cup
 
[h=3]Mwaikimba kuongeza kasi ya Azam katika kufumania nyavu[/h]Mshambuliaji aliyezaliwa upya katika miwa ya Kagera, Gaudence Mwaikimba amemwaga wino wa kuitumikia Azam FC.

Mwaikimba ambaye alisajiliwa na Moro united mwanzoni mwa msimu huu na kuweza kufumania nyavu mara 6 akiwa nyuma kwa goli 2 za Mshambuliaji wa Azam FC John Bocco, huku akitoka kwenye ufungaji bora wa Kili Taifa Cup 2011, na akiwa nyuma ya Mrisho Khalfan Ngassa katika ufumania nyavu msimu uliopita akiwa Kagera Sugar.

Mwaikimba anachukuwa nafasi ya Mghana Abdul Wahab aliyeshindwa kutamba na uzi wa Azam FC, huku beki aliyetamba na Simba toka Uganda Owino akichukuwa nafasi Mghana Nafiu.

Kusajiliwa kwa mshambuliaji huyo wa Zamani wa Yanga na Ashanti kunaimarisha safu ya ushambuliaji ya Azam inayoongozwa na John Boko, ambayo msimu huu imekuwa aitikisi nyavu kama ilivyo zoeleka katika misimu iliyopita.


Katika hatua nyingine Azam Academy imeanza vyema michuano ya Uhai Cup baada ya kuibuka na ushindi wa goli 2-1 pale walipo cheza na Kagera Sugar katika uwanja wa Azam.
 
baada ya newgeneration ya azam fc kutoa droo leo na hao kina ruvu shooting imefuzu kuingia robo fainali kwenye Uhai Cup..
Ruvu Shooting 0 - 0 Azam FC

viva la azam fc..
 
Azam B kufuzu kwenda nusu fainali baada ya kushinda penati 4 kwa 1...
 
Nusu tunakipiga na serengeti boys..
 
azam fc academy kutinga fainali baada ya kuifunga serengeti boys 3 bila..
 
azam fc kukipiga na simba ambayo iliishinda toto afrika mabao 4 kwa 1..
 
bado bila bila sasa hivi ni dk ya 75..ndani ya Uhai Cup hapo karume..
 
azam kupoteza ubingwa kwa penati 6 - 5 tumekuwa washindi wa pili uhai cup mwaka huu..
 
wacheza wa azam wawili mmoja mfungaji bora na kipa ni kipa bora uhai cup..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…