The Official Azam FC Thread

The Official Azam FC Thread

bora nafasi ya pili kuliko kukosa hata hiyo milioni.. inatosha..
 
azam fc kuendelea na mazoezi kwa ajili ya round ya pili katika home ground chamanzi mbande..
 
kesho kutwa kutakuwa na mechi ya hisani kati ya azam fc na yanga kwa ajili ya kutafuta mchango wa kununulia baiskeli za walemavu mnakaribishwa sana uwanja wa taifa..
 
gaudence mwaikimba anainua mashabiki baada ya kufunga penati iliyotokana na madhambi aliyofanyiwa ngassa..
 
mrishooooooo ngasaaa goooooooooooli anaipatia azam fc goli la pili..
 
ni kipindi cha pili kinaendelea na goli hilo limepatikana kipindi cha pili..
 
full time Azam FC 2 - 0 Yanga SC
Yaw Berko ni man of the match..
 
[h=3]Obrean kutimkia Vietnam[/h]
wXaT8z5CygfCgAAAABJRU5ErkJggg==

Kipa wa Azam FC toka nchini Serbia, Obren Cirkovic ameondoka nchini na kwenda Vietnam kucheza
soka la kulipwa katika klabu ya Hoang Anh Gia Lai.

Obren, aliyesajiliwa na Azam mwanzoni mwa msimu pamoja na Kipa toka Zanzibar Mwadini Ally kuchukua nafasi ya makipa Chove na Nyokururu toka Burundi ameenda nchini Vitenam wakati bado Azam FC na Hoang Anh Gia Lai bado hawajafikia makubaliano ya bei.

Gazeti la Champion liliripoti kuwa Obren kauzwa kwa kitita cha dola za Marekani 25,000, ambapo walimnukuu Kocha wa Azam FC Stewart Hall akikisema kiasi hicho cha pesa.

"Tayari Azam imeshakubaliana na klabu hiyo juu ya dau litakalomng'oa kipa huyo, Hoang Anh Gia Lai, ambapo watalazimika kulipa dola 25,000 (zaidi ya Sh milioni 40) ili kumpata kipa huyo," alisema Stewart Hall.

Ila kwa mujibu wa taarifa toka mmoja ya watu wa ndani ya Azam FC, inasema kuwa bado hawaja wafikiana kwenye kitita cha fedha japo kuwa teyari ameshaondoka.

Obrein ambaye alidaka michezo mitatu ya mwanzo wa msimu na kupata jeraha ambalo lilimfanya Mwadini Kumpoka namba, pengo lake linatazamiwa kuzibwa na kipa bora wa michuano ya Uhai Cup 2011 iliyomalizika kwa Azam Academy Kushika nafasi ya pili, Aishi Salum.

Kocha Stewart akizungumzia hali yakuondoka kwa kipa huyo aliyeanza kulizoea benchi alisema: "Tumeshaanza maisha mapya bila yeye ambapo nafasi yake nimempa Aishe (Salum) ambaye alikuwa katika kikosi chetu cha vijana chini ya miaka 20, nadhani atatusaidia akiwa chaguo la pili nyuma ya Mwadin (Ali)."

Azam FC walibakiwa na makipa wawili baada ya kipa aliyelelewa na klabu hiyo Daudi Mwasongwe kutolewa kwa mkopo kwenda Villa Squad na hivyo kumpa nafasi Aishi kuwa chaguo la tatu kabla ya Obrein kutimka.

source: azam fans club
 
[h=3]Obrean kutimkia Vietnam[/h]
wXaT8z5CygfCgAAAABJRU5ErkJggg==

Kipa wa Azam FC toka nchini Serbia, Obren Cirkovic ameondoka nchini na kwenda Vietnam kucheza
soka la kulipwa katika klabu ya Hoang Anh Gia Lai.

Obren, aliyesajiliwa na Azam mwanzoni mwa msimu pamoja na Kipa toka Zanzibar Mwadini Ally kuchukua nafasi ya makipa Chove na Nyokururu toka Burundi ameenda nchini Vitenam wakati bado Azam FC na Hoang Anh Gia Lai bado hawajafikia makubaliano ya bei.

Gazeti la Champion liliripoti kuwa Obren kauzwa kwa kitita cha dola za Marekani 25,000, ambapo walimnukuu Kocha wa Azam FC Stewart Hall akikisema kiasi hicho cha pesa.

“Tayari Azam imeshakubaliana na klabu hiyo juu ya dau litakalomng’oa kipa huyo, Hoang Anh Gia Lai, ambapo watalazimika kulipa dola 25,000 (zaidi ya Sh milioni 40) ili kumpata kipa huyo," alisema Stewart Hall.

Ila kwa mujibu wa taarifa toka mmoja ya watu wa ndani ya Azam FC, inasema kuwa bado hawaja wafikiana kwenye kitita cha fedha japo kuwa teyari ameshaondoka.

Obrein ambaye alidaka michezo mitatu ya mwanzo wa msimu na kupata jeraha ambalo lilimfanya Mwadini Kumpoka namba, pengo lake linatazamiwa kuzibwa na kipa bora wa michuano ya Uhai Cup 2011 iliyomalizika kwa Azam Academy Kushika nafasi ya pili, Aishi Salum.

Kocha Stewart akizungumzia hali yakuondoka kwa kipa huyo aliyeanza kulizoea benchi alisema: “Tumeshaanza maisha mapya bila yeye ambapo nafasi yake nimempa Aishe (Salum) ambaye alikuwa katika kikosi chetu cha vijana chini ya miaka 20, nadhani atatusaidia akiwa chaguo la pili nyuma ya Mwadin (Ali).”

Azam FC walibakiwa na makipa wawili baada ya kipa aliyelelewa na klabu hiyo Daudi Mwasongwe kutolewa kwa mkopo kwenda Villa Squad na hivyo kumpa nafasi Aishi kuwa chaguo la tatu kabla ya Obrein kutimka.

source: azam fans club
 
leo kwenye gemu yetu na JKT ruvu
Azam FC 3 - 0 JKT Ruvu
magoli ni Khamis Mcha 2 na Kipre Bolou 1

viva la azam fc.
 
leo katika viwanja huko zanzibar
mechi: Azam FC v Mafunzo
karibuni sana katika mchezo wetu wa leo..
 
Back
Top Bottom