The Official Azam FC Thread

gemu ishaanza azam 1 - 1 mafunzo goli la azam ni mwaikimba..
 
gemu imeaanza ngassa babi wametoka kipre bolou na boko ndani..

ni second half
 
bado moja moja na sasa ni dk ya 81..
 
mambo bado mafunzo wanakomaa ni dk ya 90
 
dk ya 5 azam fc moja yanga bado hawajafunga mfungaji john bocco
 
dk 31 kipre chetche anaipatia azam goli la pili
azam 2 yanga 0
 
kipre chetche anaipatia azam goli la 3..
Azam fc 3 - 0 yanga..
 
Kwa ivo Yanga wanaingia nusu fainali?
Duh, Hongera nyingi kwao!
 
FT azam fc 3 - 0 yanga
magoli bocco na kipre tchetche. ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…