The Official Azam FC Thread

waendage kuogelea tu pale kwenye swimming pool yao..
 
kikosi cha azam
GK: mwidini
Defenders: erasto,waziri, moradi, aggrey
Midfielders: humud sureboy abdi kassim
Strikers: bolou tchetche bocco

kila la kheli..
 
ngassa anaingia anatoka babi abdi kassim
 
tchetche anatoka anaingia mwaikimba anaingia dk ya 88
 
game imeisha asanteni sana kina bocco na mwaikimba kwa kunishushia mawazo ya jana dhidi ya hawa mashetani..
 
hongera sana kwa ushindi mnono na kuwaliwadha azam academy kwa kutolewa kwa penati..
 
Leo Mchezoni!
Game: Azam FC v Jamhuri ya Pemba
Venue: Amaan Stadium
Time: 20:30 usiku

Kila la kheli azam fc!
 
hiyo fainali itaonyeshwa na Tv yoyote hapo bongo? au ndio kimyakimya tu....mpaka kwenye taarifa ya habari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…