mbo
na mimi hii link kwenye simu yangu siipati?TV Nationale 2 Tunisie tazama live Wataniya 2 live online | Tunisie 14
Dakika ya 22'' Yallah! Yallah! huyu Coulibaly wa Esperance hatari sana !
Dakika ta 23'' Krosi ya Esperance inangonga mtambaa wa juu wa goli la Azam!
Dakika 25'' Jamaa wanaweka pressure kubwa kwa Azam FC lakini wachezaji wa Azam FC wametulia hawababaiki
Dakika 29'' Manula anadaka shuti kali la shambulizi la Esperance
Esperance 0 - Azam FC 0