The Official Azam FC Thread

The Official Azam FC Thread

TV Nationale 2 Tunisie tazama live Wataniya 2 live online | Tunisie 14

Dakika ya 22'' Yallah! Yallah! huyu Coulibaly wa Esperance hatari sana !
Dakika ta 23'' Krosi ya Esperance inangonga mtambaa wa juu wa goli la Azam!
Dakika 25'' Jamaa wanaweka pressure kubwa kwa Azam FC lakini wachezaji wa Azam FC wametulia hawababaiki
Dakika 29'' Manula anadaka shuti kali la shambulizi la Esperance
Dakika 31'' Hawa jamaa Esperance wanacheza kwa kukamia mpira upo half ya pitch ubabe wa Azam FC tu
Dakika 44'' Hongera kwa wachezaji wa Azam FC hasa safu ya ulinzi pamoja na kipa Aishi Manula ni jihadi kwenda mbele Esperance hawaamini wanayoona!
Dakika 45'' shuti! Aishi Manula anaokoa inakuwa kona
Dakika 45 + 1 Mpira ni mapumziko

DakiKa ya 49 '' Goal! Adhabu ndogo goli kwa Azam FC na ni Goal! Esperance wanafunga goli kupitia Bguir lakini naona kabla ya adhabu kupigwa watazamaji wanafanya faulo/ hujuma kwa kummulika machoni Kipa Manula na ''Laser beam/ light'' kupunguza umakini wake wa kuona na Esperance wanafunga goli.
Dakika ya 57'' Esperance wameamua kuwa na kumiliki mpira (total ball possession)kulinda goli lao moja na kuafanya mashambulizi ya kuvizia.
Dakika ya 60'' Espereance wanapata kona na Aishi Manual anaokoa.
Dakika ya 64'' Goal Jouini anaipatia Esperance goli la pili
Dakika ya 81'' Goal ! Youssef anaifungia Esperance Sportive De Tunis bao la tatu
Mpira umekwisha
Esperance 3 - Azam FC 0
 
Hili balaa,Azam uwezo wa kuzuia mashambulizi muda mrefu hawawezi
Sasa wao walicheza na wanacheza jinsi esperance wanavyotaka hilo ndio tatizo.
 
Azamfc leo ni kichapo tu. Timu dhaifu. Naona hata wamiliki wameona aibu kuonyesha kwenye chaneli zao.
 
Azamfc leo ni kichapo tu. Timu dhaifu. Naona hata wamiliki wameona aibu kuonyesha kwenye chaneli zao.
Una hoja ila ina mapungufu kwa sababu una jazba hilo la kutokuonyesha subiri kesho waje kutudanganya ni kweli ni timu dhaifu lakini ina nia ya kuondokana na udhaifu tofauti wale sunche. Na kapeto wamekalia majungu magumashi uongo uzandiki uoga wa kujiletea maendeleo
 
Stop stop
Already dead poor azam poor poor bakhresa poor azam chapati poor azam juice poor azam biscuit poor azam milk poor poor poor
 
Azam na Yanga zifungwe,Ya kimataifa Simba inaonewa sana na TFF,Lakini ipo siku huu utawala wa Yanga kubebwa na TFF utaondoka
 
Back
Top Bottom