Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
leo katika mchezo..
Azam FC v African Lyon 2 - 1
bocco na samm kessy wa lyon goli la kwanza wamejifunga..
leo kocha wa azam fc, Stewart Hall amehojiwa na redio ya TALKSPORTS ya England-Amesema mpira tanzania ni taabu sababu administration na organisation ya mpira tanzania ni poor,kuhusu uchawi alishangaa timu pinzani ilipovunja mayai kwenye mlango wa dressing room ya timu yake na kuanza kuperform ceremonial dance-wachezaji wake wakagoma kutokea mlangoni na wakapitia dirishani,amesema anajaribu kuvunja stranglehold ya yanga na simba,tanzania.Ameendelea kusema AZAM fc inachukiwa sababu ina hela na ilivunja record ya transfer fee ilipomchukuwa ngassa