The Official Azam FC Thread

The Official Azam FC Thread

Azam kutua Mwanza leo Abdulhalim mfungaji wa goli pekee hapo jana Kikosi cha Azam FC kinatarajiwa kutua Mwanza leo, wakitokea Kagera wakiwa teyari kuwakabili Toto Africa ya Mwanza hapo september 19 katika uwanja wa CCM Kirumba. Azam FC na Toto African watakutana katika uwanja wa CCM Kirumba jumatano katika muendelezo wa michezo ya ligi kuu ya Tanzania Bara iliyoanza hapo jana kwa Azam kuwachapa goli 1 wakatamiwa wa Kagera. Kocha msaidizi wa Azam Kali Ongala akizungumza baada ya mchezo wa jana alisema; "Kucheza ugenini mechi ya kwanza huwa ni ngumu, na hasa ukicheza na Kagera Sugar mechi inakuwa ngumu zaidi, nashukuru jitihada za wachezaji zimetupatia ushindi, ni furaha kwetu hii ni mara ya kwanza tunaifunga Kagera kwao". Kali aliongeza kuwa kujitolea kwa wachezaji wake na kupigana dakika zote za mchezo zimechangia kiasi kikubwa kupatikana kwa ushindi huo ukizingatia timu imecheza katika mazingira tofauti. Kocha huyo amewataka wachezaji wake waongeze juhudi, wajitume na kujitolea zaidi katika mechi zote ili kufikia matarajio yao.
 
Jitahidini ili yanga mwaka huu achukue nafasi ya nne maana najua mwaka huu hata kwa Coastal hafurukuti...
 
Jitahidini ili yanga mwaka huu achukue nafasi ya nne maana najua mwaka huu hata kwa Coastal hafurukuti...

hao CUSC ni balaa wanakuja kwa kasi kama nini full udhamini kama ilivyo kwa african lyon ingawa inabahati mbaya na tff..
 
matokeo ya leo

Toto African 2 -2 Azam FC

point nne tokea kanda ya ziwa safi..
 
[h=3] AZAM KUWAKABILI WAKATAMIWA
[/h]
Baada ya kumaliza michezo ya kanda ya Ziwa, Azam FC kesho wanateremka kwa mara ya kwanza katika msimu wa 2012/13 katika uwanja wa Azam kuwakaribisha wakatamiwa wa Manungu, Mtibwa Sugar.

Azam FC inashuka katika mchezo huo ikiwa na kumbukumbu ya kutoka na sare na Toto African katika mchezo wa mwisho wa ligi, wakati wapinzake wake Mtibwa Sugar wakitokea katika ushindi wa goli 3-0 walio upata mbele ya Yanga.

Katika michezo mitatu ya mwisho iliyowakutanisha Mtibwa Sugar na Azam FC, ilishuhudia ushindi ukielekea kwa wakatamiwa wa Manungu Mtibwa Sugar.

Azam FC chini ya kocha mpya Boca imempatia nafasi kiungo chipukizi Himid Mao Makame kuendelea kuonyesha uwezo wake huku jukumu la kuichezesha timu likiwa kwa kiungo Abdulhalim Homoud ambaye atapambana vilivyo na kiungo mkongwe Shaban Kisiga.

Mtibwa na Azam wote wanapoint 4 lakini Mtibwa Sugar akimzidi Azam tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa ambapo Mtibwa Sugar wanamagoli 3 na Azam wana 1.
 
we are now fix it
Azam FC 1 Mtibwa sukari FC nil what a goal from a most skillful winger KT10 kwa kutupa furaha..
 
toa maoni yako juu ya hii tv show ya azam fc nini kifanyike hasa juu ya hili jambo la kuanzisha kipindi cha tv demo yake hii hapa..

123 - YouTube
 
na leo kwenye katika mechi ni

mechi: Azam FC v JKT Ruvu
uwanja: Taifa
muda: 19:00 PM

Mchezo utaoneshwa pia na SuperSport East Africa
 
FT Azam FC 3 - 0 JKT RUVU Bocco (JB19), Tchetche na Bolou..
 
Azam FC leo inashuka dimbani kukwaana na African Lyon FC katika mechi ya tano kwa Azam FC ya ligi kuu ya Vodacom, mechi hii itachezwa Chamazi Complex
Kikosi cha Azam FC kitashuka dimbani kusaka pointi tatu muhimu ambapo kama tutashinda kwa zaidi ya magoli matatu basi Azam FC itakwea hadi kileleni mwa msimamo wa VPL ikisubiri matokeo ya mechi ya utangulizi ya raundi ya sita kwa simba dhidi ya JKT Oljoo hapo kesho.
Kikosi cha Azam FC hii leo kinatarajiwa kuwa
GK - Mwadini Ally
RB – Erasto Nyoni
LB – Samih Nuhu
CB – Aggrey Morris & Said Moradi
MD- Himid Mao, Jabir Aziz, Abdi Kassim & Ibrahim Mwaipopo
STR – Kipre Tchetche & John Bocco
Reserve
Deogratius Dida Munishi, Ibrahim Shikanda, Joseph Owino, Salum Abubakar, Abdulhalim Humud, Kipre Bolou, Khamis Mcha, Zahoro Paz
 
kipa wa a lyon mbovu balaaa kila muda analialia tu..
 
mchezaji wa azam anafanyiwa madhambi..
 
Back
Top Bottom