Hawa Miami wana tabia ya ku get hot dakika za mwisho mwisho. Watu wanaweza kulia leo hapo Chicago
Ngosha vipi leo......nilikuambia kuwa haya "Mang'ombe dume" yatawashangaza mazee............
Tusubiri hadi kipenga kipulizwe.
Duuuhh Heat Kiboko......mazee