The Official NBA Thread

Na hiyo free throw Rose kakosa kwa sababu ya nerves tu. Poleni wapenzi wa Chicago. Jaribuni tena mwakani.
 
Mhhh! The season is over for Da Bulls! What a crushing defeat!
 
I said it!

Haya naona unajifagilia na Dallas nao ni hivyo hivyo maana katika michezo yao miwili ya mwisho walikuwa wanafungwa hadi dakika za mwisho walipofanya kweli.
 
Haya naona unajifagilia na Dallas nao ni hivyo hivyo maana katika michezo yao miwili ya mwisho walikuwa wanafungwa hadi dakika za mwisho walipofanya kweli.

Bubu wewe mpenzi wa Chicago nini? Manake naona kama una machungu...teh teh teh
 
Sidhani kama wana chao leo. Wajitahidi tu washinde game 6, wakizembea na kurudi Chicago kwa ajili ya game 7 basi hakuna wa kumlaumu ila the BIG 3 (kama hawatakuwemo kwenye 2011 NBA finals)

Mzee bado upo hapo?...:biggrin1:
 
Reactions: BAK
Bubu wewe mpenzi wa Chicago nini? Manake naona kama una machungu...teh teh teh

hahahahah hapana! ila sikutegemea kabisa Bosh acheze vizuri kiasi alichocheza, na performance yake iliwapa advantage kubwa sana Miami. Akiweza kurudia performance kama hii katika michezo minne ya kwanza na Dallas basi Miami watakuwa na advantage kubwa sana. Nani mwenye Home court advantage kati ya Miami na Dallas?
 
Miami ndo wenye home court advantage.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…