The Official NBA Thread


Mhhhh! AW umekunywa nini usiku huu....hahahahah lol! Dallasa wanaweza kabisa kushinda lakini sidhani kama itakuwa sweep.
 
Gemu imeisha hii. Miami huwaga hawaachii lead kwenye 4th qt.
 
5 points difference with 4:35 to go! bado sana hii game!
 
Wow, MAVS sasa mziki hauchezeki. Labda wachome 3 za fasta
 
Its over , dallas walishindwa kuchukua advantage wakati miami game lilikuwa linawakataa.sasa game limewakubali na wanafunga biashara.

James na masifa juu sasa utamwambia nini.
 
Lebron James...in your face....and a foul!!!!...Mumeona hio kitu?...:dance:

 
AW upo au umeanza kutetemeka kama sir Alex?
 
Show game sasa kufunga siku.

Dallas inabidi sasa wa step up game 2.jason terry second half hajaonekana,barea hakutoa mchango, chandler bure kabisa .
 
AW upo au umeanza kutetemeka kama sir Alex?

Nipo mkuu lol, bado naamini dallas watachukua ubingwa.

Lazima wafanye kila njia washinde Thursday wasizubae kama leo huku wenzao wamekuja kuwamaliza forth quarter.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…