BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Timu yoyote inaweza kuchukua ushindi lakini naipa nafasi kubwa sana kwa Dallas kutona na bench lao linatoa msaada mkubwa.
Miami akizimwa Lebron na Wade mchezo umekwisha.
Na pia na predict Dallas watashinda kwa 4-0, ni mtazamo wangu tu wakuu msiwe wakali lool. Bonge la sweep linakuja lool.
Mhhhh! AW umekunywa nini usiku huu....hahahahah lol! Dallasa wanaweza kabisa kushinda lakini sidhani kama itakuwa sweep.