Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
lol, mkuu sio hivyo, nia ipo ila uwezo ndio kikwazo.Jamaa wako wako naona, sijaona nia ya kutaka ushindi kabisa .
Bosh vp dah, turnover zake zinaua timu.
Yaleyaleee inauma kuona Dallas inafungwa ila Kama tunavyosema Ukiweza Kuchoma 3 na kunyoosha vidole vya taarabu juu ujue timu imeumia 3 ni noma wakati kama huu sasa ndio naona Dallas kaumia hata akirudi 2-2. Dallas lazima waweze 3 na D yao iwe ya nguvu. Sababu mtu akiwa na moto akianza zile 3 na Vidole vya Taarabu juu unasikia tu nyavu shwaaaaaaaa.Chalmers, Chalmers, Chalmers.....mzee wa 3
Babu umeibuka :biggrin:Yaleyaleee inauma kuona Dallas inafungwa ila Kama tunavyosema Ukiweza Kuchoma 3 na kunyoosha vidole vya taarabu juu ujue timu imeumia 3 ni noma wakati kama huu sasa ndio naona Dallas kaumia hata akirudi 2-2. Dallas lazima waweze 3 na D yao iwe ya nguvu. Sababu mtu akiwa na moto akianza zile 3 na Vidole vya Taarabu juu unasikia tu nyavu shwaaaaaaaa.
Chalmers, Chalmers, Chalmers.....mzee wa 3
Bosh, ile baunser Tyson Chandler ilimgonga usoni akawa haoni vizuri. That thug is nastyy.Kaka kuna muda I was asking myself, what is Bosh good at? coz he missed a lot and never looked like a top class player; again CHALMERS, I like that dogo.
Chalmers huwaga ananshangaza sana, anachoma 3 halafu akienda kwene FT anachemsha ..dah huwaga nabaki kinywa wazi. BTW, hivi mjerumani atakosa lini FT?? ukijifaulisha tu kwake just count baskets..he he he..
Tuko pamoja wakuu