Kutizama Game za Lakers ni Pesha tupu!
...Pole zako Mkuu....mie enzi zile za Michael Jordan and Da Bulls katika playoffs game za kukata na shoka na Detroit, Knicks, Miami Heat kwa upande wa Eastern conference na kwenye NBA finals na Lakers, Blazers, Utah Jazz, Phoenix Suns, Seattle nilikuwa nazima TV kwa muda nikiona mambo yanazidi kuwa magumu...lakini siku hizi pamoja na kuwa bado upenzi wa BB upo lakini naangalia kwa raha zangu.
Enzi za akina Karl Malone 'the mail man'...
Siku hizi kwa kweli pressure imekwisha...:hat:
Haya matimu yanacheza defensive, ndio wacha yaende kwene tie-breaker. Yakija yamechoka yataishia kupigwa tu. BTW, hivi Bosh vipi, any news?...Naona wameshashinda hii game sasa wanasubiri mshindi wa game 7 kati ya Boston na Philadelphia.
Haya matimu yanacheza defensive, ndio wacha yaende kwene tie-breaker. Yakija yamechoka yataishia kupigwa tu. BTW, hivi Bosh vipi, any news?
Bynum ni jeuri na ana nyodo sana. Lakini kaka OKC kweli wanasikiza, utaona Westbrook saivi halazimishi kupenetrate kila wakati. Sasa hivi anaonesha variety of his game na inamsaidia kutokuwa predictable kama msimu uliopita. Durant, yuko juu ya Mjeremani ambaye amekosa agrressiveness kabisa. Pia kuna babu Fisher na Mkongoman Ibaka, Spurs wanaweza wasipenye hasa ukizingatia factor ya athletism na umri kwa kiasi fulani. Lakini it is all about match-ups, tutaona itakueje.Yo-Yo mie Mshabiki wa Lakers ila siichukii OKC wala timu za WEST kasoro Clippers tu ila OKC kwa San Antonio watagonga mwamba Playoff ni D kuwa Strong na uwe na wapiga 3 wazuri ndiocho kimeiangusha LA Lakers.
Sababu yakupenda timu za West ni wanacheza Basic Basketball hakuna maonyesho ya kuringishia kama Tabia za "MIAMI HEAT" timu yoyote OKC au San Antonio lazima watamchapa atayekuja kutoka EAST Ila OKC mwisho wake ni kwa San Antonio utaniambia. timu pekee EAST naitakia mafanikio ni Philly. Durant ila ni mashine nyengine uzuri wa huyu Dogo anajifunza kwa mtu kama Mjerumani wa Dallas akiongeza na yake ndio inamsaidia Westbrook kuna vitu vingi pia nimeona anafanya anavyofanya Kobe Bryant aki Fake Shot OKC ni timu nzuri ya Vijana wanasikiliza na ukitizama timu za West Wengi wanasikiliza kasoro Mtu kama Bynum Jeuri sana.
Le Bron ana vikapu 28. Bosh asipokuepo mambo yanaweza yakawa ndivosivo.Angalia hapa Mkuu: Report: Heat F Chris Bosh (abdominal injury) eyes possible postseason return - CBSSports.com
The King naye kadondosha vikapu 40.