The Official NBA Thread

The Official NBA Thread

relax, chill, watch de game and learn buddy. Hawajafika fainali kwa kubahatisha, kama uonavyo strategy yao ya kuhakikisha by half tym gap ya points inakua ndogo, Miami ni timu ichokayo mapema sana, na hawa umeona wanaweza mbana na kumpunguzia makali Queen James, kwa hiyo subiria qtr ya 4 iishe ndo ufunge mahesabu.
I agree its still very early but the thing about Miami tiring early is bogus. As a matter of fact Wade has been a slow starter in the past two series and eventually he picks it up, and Bron is just Bron he can take over a game anytime. Look for D-Wade and Bron to kick it up a notch and Bosh to be key since he is nice and rested. Shout-out to Battier and Chalmers for stepping it up!
 
ndio shida ya kufuatilia mechi moja na ku conldue mambo, unajua jinsi perkins alivyoweza improve defense ya okc mwaka huu wewe[/QUOTE

Usiwe na jazba Mtaalam mie naongelea Game ya leo na ndomana nimekasirishwa naye sababu najuwa alichofanya nyuma yeye na Ibaka hawa Miami sitaki washinde ila leo charlmer na battier wanaziona 3.
 
ndio shida ya kufuatilia mechi moja na ku conldue mambo, unajua jinsi perkins alivyoweza improve defense ya okc mwaka huu wewe[/QUOTE

Usiwe na jazba Mtaalam mie naongelea Game ya leo na ndomana nimekasirishwa naye sababu najuwa alichofanya nyuma yeye na Ibaka hawa Miami sitaki washinde ila leo charlmer na battier wanaziona 3.

hapo umenena heko! Ts jus a 1pt game nw baby!
 
I might have to eat my words here, Miami is looking sluggish.
 
aisee undumilakuwili mgumu sana
kukku.jpg
 
tena unaweza ukakuta hata hizi games haangalii yuko busy kukimbizana na kina jokate na wema!
Mpuuzi sana yule dogo

Ibaka alikuja ki-deiwaka deiwaka OKC, Hashimu akaingia kitaalam

MMoja yuko arena, mmoja yuko wilaya ya k'ndoni anakula bata
 
jamaaa ni kibaka kweli kweli, anajua kuiba mpira kinomaaa.
Jus heard baba yake ni Msauzi Africa, mama ni mFaransa ila yeye ni mSwitzerland! Duh
Alizaliwa switzerland, ndio maana kachukua uraia wa kule.wazazi wake wanaishi switzerland
 
because he showed positivity na energy, the big Tz was not confident

No, I mean can you believe that Hasheem 'The Dream' was picked ahead of Madevu in the draft and yet one is now considered a top player and one of the best free agents heading into the off-season, while the other is, well he just is.
 
Back
Top Bottom