No way, he can ball.
True Dat!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No way, he can ball.
really??................
really??................
Not this postseason but remember 05-06 finals?
Yes. Like any other good player,sometimes things don't go his way.
Nakubali, lakini kusema kwamba yuko overated kama vile hakuwai ku-meet expectations za watu kwenye career yake.too many games in this playoffs havent gone his way then
tatizo kubwa, hanaconfidence ya kuattack, he is playing too safe and may not be supportive sometines hasa wakzidiwa
play-offs karibia zote nilizoona, amecheza vizuri only one game
ni miaka mingapi imepita??
hebu acha hizo wewe, ya kale hayanuki... the guy has deteriorated
Tuacheni utani Wade ni best kwenye And1 nikwamba tu OKC Thunder wamewaweza.
Tuacheni utani Wade ni best kwenye And1 nikwamba tu OKC Thunder wamewaweza.
haya wale waliokua wanasema kuwa its game down miami wamechukua baada ya kuwaona wanalead qtr ya 1, wako wapi?!?