The Official NBA Thread

The Official NBA Thread

Kudadadadadeki Mgogo Kevin Durant choma tu hizo 3 chomaaaaaaa wa Heat haOoooooo mgogoooo.
 
Yes. Like any other good player,sometimes things don't go his way.

too many games in this playoffs havent gone his way then

tatizo kubwa, hanaconfidence ya kuattack, he is playing too safe and may not be supportive sometines hasa wakzidiwa

play-offs karibia zote nilizoona, amecheza vizuri only one game
 
Nakubali, lakini kusema kwamba yuko overated kama vile hakuwai ku-meet expectations za watu kwenye career yake.
 
Tuacheni utani Wade ni best kwenye And1 nikwamba tu OKC Thunder wamewaweza.
 
The confidence thing is all to do with having to adjust to not being the go to guy.
 
Tuacheni utani Wade ni best kwenye And1 nikwamba tu OKC Thunder wamewaweza.

That's what I'm saying he is much better at driving to the rim and drawing fouls rather than settling for the J
 
Tuacheni utani Wade ni best kwenye And1 nikwamba tu OKC Thunder wamewaweza.

.............sorry, cant see it!!

and didnt see it in the conference play-offs as well except one game
 
dakika zimeisha, mtu anaruhusiwa ku-dunk ktk muda nyeti kaa huu? miami kimeshazama hiki kimeo.
 
haya wale waliokua wanasema kuwa its game down miami wamechukua baada ya kuwaona wanalead qtr ya 1, wako wapi?!?
 
Lebron tunajuwa ni Best in the Game ila Sifa nazo zinaharibu, KD is “Da Man” hana misifa anafanya kazi yake kwa nizamu na wenzake.
 
Back
Top Bottom