haya wale waliokua wanasema kuwa its game down miami wamechukua baada ya kuwaona wanalead qtr ya 1, wako wapi?!?
OKC ni noma sana
kwa hapo tu ndio naogopa kukubaliana na weweWaganga wa bongo tu ndio watasema Miami hii game watarudi sasa hivi lol. Kushne KD ndio MVP wa Final tunamuona.
kwa hapo tu ndio naogopa kukubaliana na wewe
celtic ilikua hivihivi
its tool early
and i am still torn!!
Kitu nilichogundua kuhusu OKC ni kwamba wao ni slow starters ila wanajua kumaliza coz they always pick up the pace in the third or fourth Q
ngoma bado mwana. mie bado natathmini kilichotokea Q3. Q3 ndio game ilipoponyokea.Waganga wa bongo tu ndio watasema Miami hii game watarudi sasa hivi lol. Kushne KD ndio MVP wa Final tunamuona.
U can't compare Boston with Oklahoma.
thanks............. and that is my pointTangu Lebron ametua Miami ,Wade confidence imepungua
ngoma bado mwana. mie bado natathmini kilichotokea Q3. Q3 ndio game ilipoponyokea.
thanks............. and that is my point
he is not good enough anymore, kwahiyo wanosema sijui in 2005-6 ... i dont buy it
sijazungumzia talentSo are you saying that all of a sudden Wade is less talented because Bron is there? Confidence is a state of mind and has nothing to do with ability. Wade might lack the confidence but to claim that he is not capable of lighting up a game or a series is being too harsh on him. Remember Wade going for 41 and 10 in game six against the pacers after Bron went for 40 and 18 in game 4? Form is temporary but class is permanent, 'The Flash' will be back!
sijazungumzia talent
talent and capability are two different things... we have seen many talents going ineffective etc.