The Official NBA Thread

The Official NBA Thread

Thus why HEAT will always be HEAT...........Westbrook form was pointless in HEAT's teamwork and experience!!!! See u on Thursday... HEAT will be wrapping it up!!! Full kuonyesha Kwapa
 
First quarter of game 2. First quarter of game 2. First quarter of game 2.

Now it's a wrap.
 
In the 2-3-2 series format you can't afford to split the first two games....at least not against a team like Miami who are out to prove a point.
 
BUBU vp???? Mbona Unaishia DUH!!!! Sema bana .....


Hahahahaha lol! naona saa hizi umepata nguvu ya kuongea eeh!!!....mwanzoni ulikuwa umebana kwa mbali unachungulia kama siye LOL! Haya hongera zako.


 
Last edited by a moderator:
oklahoma-city-thunder-v-miami-20120619-191815-282.jpg

 
Hahahahaha lol! naona saa hizi umepata nguvu ya kuongea eeh!!!....mwanzoni ulikuwa umebana kwa mbali unachungulia kama siye LOL! Haya hongera zako.




Thanx...!!! That SLOGAN of BEAT the HEAT is Long Gone!!! Its SUPPORT the HEAT ALL over
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Nani anabisha sasa kuwa OKC walikosea sana kuanza kizembe game 2?

Vitu kama vitatu umekua ukisisitiza kwenye finals hizi. 1 OkC hawawezi kuwin game ya pili kwa kutegemea comeback 2 finals zitamalizikia miami...1 ilithibitika siku hiyo hiyo...naona namba 2 nayo iko karibu sana kuthibitika
 
still bado naona okc wana nafasi....sio kiushabiki lakini nawambieni wakishinda Thursday...miami wamekwisha....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
still bado naona okc wana nafasi....sio kiushabiki lakini nawambieni wakishinda Thursday...miami wamekwisha....

Hakuna ubishi hapa lakini mechi hiyo itakuwa ngumu sana kwa OKC kushinda. Wakipunguza turnovers na kuhakikisha wanainua FT percentage kufikia angalau 80 au zaidi basi wanaweza kabisa kushinda.
 
OKC leo hii wataweza kukifanya kile ambacho wameshindwa kukifanya katika game 3 na 4 na hivyo kuurefusha huu uhondo at least for 1 game au leo ndio tunamtawaza rasmi King LJ? Enjoy the game

 
Last edited by a moderator:
Naomba OKC amkimbie Miami Q3 kwa point 18 then hapo tutasema mengine ila Miami leo wanaonekana wanamalizia hapahapa.
 
Back
Top Bottom