The Official NBA Thread

The Official NBA Thread

even mimi kusema ukweli sidhani ka heat watawin dis thing kirahisi ki hivyo on 5....
Na kwa jinsi leo OKC wameanza de game, its impressive kwakweli
ila tu kutakua na foul problems leo
 
Confo lishawatoka OKC... Jump shots fupi... Pasi hazina uhakika.... So its a MIAMI thing so far....
 
Jamani tetesi za Deng na Noah kuwa wataenda Lakers Trade Gasol ni za kweli? Huyu Lebron sawa na Mtemi asiyewezekana ana Gun nyie mnakuja na Mshale wa Kimasai wapi na wapi napenda OKC washinde ila matumaini hakuna.
 
even mimi kusema ukweli sidhani ka heat watawin dis thing kirahisi ki hivyo on 5....
Na kwa jinsi leo OKC wameanza de game, its impressive kwakweli
ila tu kutakua na foul problems leo

OKC mimi nawafananisha na Sacramento Kings ya early 2000's.....
 
Jamani tetesi za Deng na Noah kuwa wataenda Lakers Trade Gasol ni za kweli? Huyu Lebron sawa na Mtemi asiyewezekana ana Gun nyie mnakuja na Mshale wa Kimasai wapi na wapi napenda OKC washinde ila matumaini hakuna.

OKC ili wawe contenders wamsajili Dwight Howard....ingawa sidhani kama jamaa anaweza kwenda huko Oklahoma.
 
Ngabu ni kweli D12 angekuwa OKC basi Miami wasingeona ndani na D12 sioni kwenda OKC, D12 ataenda Nets au Dallas, Lakers kama wakiweza kupata Deng na Noah na D Will basi NBA yao mwakani. Westbrook tulimsema sana ila leo Harden anatakiwa kufanya vitu.
 
Halafu hawa OKC wapumbavu sana! Hivi kwa nini wanawaachia sana hawa 3 point shooters wa Miami bila kuwakaba? Manake jamaa wamekuwa wakizitungua sana 3s...
 
Yaani OKC imejaa wachezaji wapumbavu sana! How in the hell do they leave those 3 point shooters wide open like that each and every time?
 
Yaani OKC imejaa wachezaji wapumbavu sana! How in the hell do they leave those 3 point shooters wide open like that each and every time?

Koz wanawabana watu watatu LeBron, Bosh na Wade ambao sio Shooters
 
Mpaka sasa nashangaa OKC waliwatoaje San Antonio...

Miami wanatumia nguvu sana kushinda San Antonio.

Cha ajabu mie naona toka Miami walivyoshinda game OKC hawaja tafuta mbinu yoyote nyingine ya kupata ushindi zaidi ya kucheza tu game yao ya kawaida.

OKC wanamtegemea Durant na westbrooks tu kwa sasa. Harden naona kapotea na bench mchango wao mdogo

Miami ukitoa mchango wa mastaa wao wengine wanasaidia sana.
 
Yaani wanapigwa 3s kama wangese vile!

Ni wajinga kupindukia....hizo 3s ndizo zimewamaliza sana. Ni heri u-concede 2 points kuliko 3 points

But the game is over...they are not coming back from this deficit now
 
Huyu Miller tatu zimemkubali kinoma, ngoja Battier aanzishe moto nae.

Kocha wa OKC kawa Wenger , hana plan B
 
Back
Top Bottom