Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Okc are bettter when they attack the rim, trying to shoot three has cost them.
BUBU vp???? Mbona Unaishia DUH!!!! Sema bana .....
Hahahahaha lol! naona saa hizi umepata nguvu ya kuongea eeh!!!....mwanzoni ulikuwa umebana kwa mbali unachungulia kama siye LOL! Haya hongera zako.
Nani anabisha sasa kuwa OKC walikosea sana kuanza kizembe game 2?
still bado naona okc wana nafasi....sio kiushabiki lakini nawambieni wakishinda Thursday...miami wamekwisha....
still bado naona okc wana nafasi....sio kiushabiki lakini nawambieni wakishinda Thursday...miami wamekwisha....
Kitu kinaenda game six leo.
Mnaweza kuniita chizi lakini ndio ukweli .