The Official NBA Thread

Hivi kati ya Dallas na Miami nani atakuwa na home court adv.?
 
Hawa Thunder ovyo kabisa, wameblew lead kipuuzi kijinga.

Mpaka wamenifanya nikumbuke maneno ya Wade jana...........kwamba gemu si vile unavyoanza.....ni jinsi unavyomalizia...............hawa thunder choka mbaya........
 
I kinda have a feeling this could be Dallas' time....

nah......unajua nini mazee hizi njemba tatu Jimmy, Wade & Chris........tayari unahesabu vikapu karibia 80....sasa ukijumlisha others unaona kabisa kuwa jamaa ni most likely watachukua hii kitu............
 
nah......unajua nini mazee hizi njemba tatu Jimmy, Wade & Chris........tayari unahesabu vikapu karibia 80....sasa ukijumlisha others unaona kabisa kuwa jamaa ni most likely watachukua hii kitu............

Ila Dallas nao wanatisha bana...
 
I kinda have a feeling this could be Dallas' time....

Sijui, but it has little effect in here coz Dallas is all about Dirk; eliminate his threat and they are finished. Siwezi sema sana but game 1 itaonyesha kama Heat wanaweza kum-contain Dirk, and if the manage to do that the championship is Heat's to lose.
 
Last time around Heat walivyochukua ubingwa walimfunga Dallas sio?
 
Last time around Heat walivyochukua ubingwa walimfunga Dallas sio?

NDIO ila Safarihii tusubiri tuone mie na waamini Dallas kwa 3 na Kidd is the Answer ila Lakers ndio wamefanya nini kumleta Mike Brown sindio Kobe sasa atafanya timu kama yake na kuharibu kila kitu wamechemsha ila tusihukumu sana tusubiri tuone.
 
radical, mie pia was shocked na hiyo move ya lakers kumleta huyo jamaaa!timu itakua ya kobe tuuu.
Unless wamake hiyo other dream move yao ya kumleta superman na cp3!
 
bibby kaanza lakini huwa anapigwa bench sana, cz dey don need a point guard to make the plays cz lebron n wade do dat job dats de bad thng at havin such type of pleyaz
 
bulls naona wameanza vizuri kweli game ya leo wajitahidi wabane hivyo hivyo wasiwe kama thunder jana....

Startin dat Gibson guy is somethin which i hav been waitin for...leo bosh haonekani kabsaaaaaa
 
bibby kaanza lakini huwa anapigwa bench sana, cz dey don need a point guard to make the plays cz lebron n wade do dat job dats de bad thng at havin such type of pleyaz
You are joking right. Bibby amesaidia sana kustabilize kwene kushare basket and now we can see he has been better than Arroyo, sasa leo naona coach anampa mda huyu Chalmers ambaye sio mzuri kwene hiyo position yeye ni mtu wa kuchoma 3. Yeye na Jones ni realiable kwa zile daggers when u least expect.
 
yeah i knw bibby museee, n he has helped alot hii timu kwenye de thng of sharing de bol ka usemavyo, na ka ungeweza elewa point yangu ni kuwa, problem ya kuwa na wachezaji ka lbj n wade kwenye timu yako ndo hiii, when they feel like wanaamua wao kuwa ndo play makers wao ndo shooting guards wao ndo kila kitu jus bcz they knw they r better than others...hence umuhimu wa a great player like bibby unakua hauonekani,dats why waona kwenye playoffs wamemuweka bench sana
 
naona bulls wamemaliza half ya kwanza wakiongoza kwa point 7 tu....cz 7pts in a bbol game is jus a small margin.ila tu hofu yangu mwishoni wanaweza wakawa na foul problemooz na em beach boys kuchukulia advantage hilo
 
umeona drama la anayejiita king?lebron?dat was so low of him,kuact kapigwa usoni while mtoto wa kiume hajaguswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…