Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
lol, umebadili mawazo?Ha ha ha finals za mwaka huu sija bet ,mafuta bei mbaya sana hamna nafasi ya kuchezea hela lol.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lol, umebadili mawazo?Ha ha ha finals za mwaka huu sija bet ,mafuta bei mbaya sana hamna nafasi ya kuchezea hela lol.
lol, umebadili mawazo?
Turn- overs za kumwaga zimeanza
Ha ha ha wewe mwenyewe naona ulikuwa hueleweki.
Nawapa ubingwa dallas.
Game inaonekana taamuliwa na individuals, sio teamwork.
Sawasawa mkuu.Wanashare basket zaidi.Dallas teamwork itawatoa.
HT 44-43 Advantage MAVS
MAVS r fading away. lol