Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Dwayne na mamake....Nice!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa wanataka kutuaribia game sasa.
Abuu ndio maana msimu huu skutaka ku-bet hela yangu. Hamna timu ya kuaminika hapa. Now Miami up by 2. Dallas collapse.
Hapa kunakuja technicals na suspensions...subiri tuone.
Umestukia eeh? sasa hivi Dallas up by 2 baada ya turn-over kadhaa za Miami. BTW, leo mjeremani vipi? au anasubiri 4th quarter. Form mbovu ya Mjeremani ilikuwa fursa nzuri kwa Miami ila benchi lao linafukia mashimo.Hawaa jamaa wote wanatania mkuu lol.
Umestukia eeh? sasa hivi Dallas up by 2 baada ya turn-over kadhaa za Miami. BTW, leo mjeremani vipi? au anasubiri 4th quarter. Form mbovu ya Mjeremani ilikuwa fursa nzuri kwa Miami ila benchi lao linafukia mashimo.
Game imemkataa kabisa leo sijui vipi.
Umestukia eeh? sasa hivi Dallas up by 2 baada ya turn-over kadhaa za Miami. BTW, leo mjeremani vipi? au anasubiri 4th quarter. Form mbovu ya Mjeremani ilikuwa fursa nzuri kwa Miami ila benchi lao linafukia mashimo.
Sasa hivi yupo 1-12 FG lolz kaz kwelkwel
Mkoloni hata asiposcore bado ni big threat kwa pasi zakeAtakuwa kalala nyumba ndogo teh teh teh.... Lakin bado wanaongoza japokuwa mkoloni ana point tatu tu.
I hope kipindi cha pili ata step up game yake,wanamuitaji kukamilisha ushindi leo.
Naona 4 th quarter itakuwa balaaKuna dalili series inakamilika leo hii. Miami sioni waki-pull chochote hapa.
Naona 4 th quarter itakuwa balaa
Naona 4 th quarter itakuwa balaa
Subiri tuone. Ila mi naona itakuwa mlenda tu Dallas itateleza shwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa