Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh teh...kweli wameanza kurudi teh teh teh
It's much easier to sustain a lead than to come back from a deficit.
Huyu Battiertatu zake zina kera kinoma
Huyu Battiertatu zake zina kera kinoma
Jamaa wanamuacha peke yakeLOL!...Huyu akiendelea kuperform hivi katika hizi NBA finals basi itakuwa ni advantage kubwa sana kwa Miami...maana anazitungua kirahisi mno!!!!
Lol,si unajua mtu unamuombea akose lakini zote zinakubalihahahaaaaaaaaaaaa, pole mkuu, ndio gemu
i like his hits
TB Joshua...:A S embarassed:??Hata Van Gundy kaongelea slow starts za OKC na mimi natabiri hizo ndo zitawamaliza.....
Lol,si unajua mtu unamuombea akose lakini zote zinakubali
hii ngoma bado mbichi aisee, it takes only 2-3 t/o kubadilia matokeo