Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
weee katoto hujalala tu?.........
OKC wakilala leo ndo inaweza ikawa mwisho wao kwa sababu format ya finals ni 2-3-2....which means game tatu mfululizo zitachezewa Miami.
Na kama cheza yenyewe ndo hii basi wasitegemee kushinda game hata moja huko South Beach.
Series ikihamia Miami 1-1 ndiyo mwisho wa OKC hasa ukizingatia wanavyoanza maana huko Miami wakiwa wana-trail ndo wasahau kabisa kushinda. Heat wata close out series at home.
OKC wakilala leo ndo inaweza ikawa mwisho wao kwa sababu format ya finals ni 2-3-2....which means game tatu mfululizo zitachezewa Miami.
Na kama cheza yenyewe ndo hii basi wasitegemee kushinda game hata moja huko South Beach.
History repeats... haikuwahi tokea for 30years in NBA history kwa team to come back from 3-1 down and win it in NBA Finals....
She is very beautiful
.........Yes, she is. Wade hapo anamiliki.
haya bana...okc wameniangusha kweli kweli......hongereni miami na lebron