Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,215
- 3,076
Damn, nimekosa game 2 za ku-conclude series. hiz 10hr flights na kazi za kimmbwa-mmbwa noma sana.
Baada ya kuwatoa SAS huku MH waki-struggle kutokea mdomoni mwa mamba wa wale wababu wa BC, wadau wengi waliona kana kwamba OKC watachukua lakini kuna part of me wanted to bet that..ha ha ha kumbe ningekula pesa ya watu sana. Kiukweli it is all about the match-ups na kuzitumia opportunities zizokua presented at ur disposal, hakuna cha zaidi. Next season ntaeka bet ya dola 300. Ngoja siku zifike panapo majaaliwa wadau wa jamvi tukufu, inchallah tutakutana
Kwa sasa due dilligence kwa el Miami Heat, Haters wa LBJ sasa washakua washabiki overnight.