The Ongoing discussions about Swahili to be a part of Facebook Network ..

The Ongoing discussions about Swahili to be a part of Facebook Network ..

Junior Clinton Mr.

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
1,075
Reaction score
1,423
United states senator says Facebook user agreements sucks

Swahili is recognizable as an International language, Be proud of your Language Tanzanians, one day the whole world gonna speak it..
 
Jameni Watanzania, huyo mbunge anatukana na kuwa na dharau na lugha ya Swahili, nyie bana. Kuna Wakenya walimjia kuu kwenye mitandao ya kijamii kwa ajili ya hizo dharau.
Yaani nyie mtu akitaja neno Swahili mnashabikia bila kujua kama anakejeli au la...miafrika
Nipe link ya social network anayopatikana nikampe makavu yangu
 
Jameni Watanzania, huyo mbunge anatukana na kuwa na dharau na lugha ya Swahili, nyie bana. Kuna Wakenya walimjia kuu kwenye mitandao ya kijamii kwa ajili ya hizo dharau.
Yaani nyie mtu akitaja neno Swahili mnashabikia bila kujua kama anakejeli au la...miafrika

MK254,
Hah Hah Mkuu najua unatania na siyo mara ya kwanza kusikia msemo huo wenye maana ya andika /zungumza kwa lugha nyepesi ya Kiingereza na siyo kutumia maneno yasiyoeleweka (small print disclaimer ) ambayo kwa mzungumzaji wa Kiingereza ni kama kusoma au kusikia misemo ktk lugha ngeni (mfano Kiswahili).
 
Sitanii na kumbuka sio mimi tu nimekerwa na dharau zake hizo, kunao hata wazungu wanaomsimanga kwenye mitandao kwamba awache ubaguzi na kudharau lugha za watu. Hebu tazama hii picha hapa chini

transparent.gif
transparent.gif
react_swahilii.jpg

react_swahili.jpg
 
Kumbe huyu kumbavu alisema hivyo? Wazungu wanajiona hao ni nani?
 
Mshenzi sana huyo jamaa, niliona huo mjadala jana. Si ni wale wale wabaguzi The Kennedys? Hawa jamaa wa Republican Party huwa wanatudharau sana sisi waafrika.
 
Yeye alikua anachangia but matumizi ya lugha yake yalikua yana kejeli ambazo zilikua zinaonekana kuwa na ubaguzi ndani yake, lakini hoja yake ilikua ni kuongelea matumizi ya kiswahili kwa watu hata wasioelewa kiswahili
Huyo jamaa alikuwa anakikejeli kiswahili bana. Yaani wakenya wanapambana ili kiswahili kipewe heshima na nyinyi hapa ndio sasa mnakenua kenua kabisa? Aisee.
 
Huyo jamaa alikuwa anakikejeli kiswahili bana. Yaani wakenya wanapambana ili kiswahili kipewe heshima na nyinyi hapa ndio sasa mnakenua kenua kabisa? Aisee.
Wakenya wanapambana???[emoji23][emoji23] We made Swahili to be what it is now.. Mi sijabisha Kama amekejeli but nilivyomuelewa ni kuwa anataka kiingereza kitumike instead of Swahili.. and that argument went for hours mpaka ikasambaa kwa social medias ..Kama yeye ni Racist shauri yake.. But what we're saying here is Swahili is on the level of International..
 
Swahili is being spoken all the way in Kismayu, DRC, Brazzaville all the way to Malakal and C.A.R. A language is only powerful in proportion to the number of people who speak and understand it. Hapa hatuongei kuhusu kisukuma. 😀
 
Swahili is being spoken all the way in Kismayu, DRC, Brazzaville all the way to Malakal. A language is only powerfull in proportion to the number of people who speak and understand it. Hatuongei kuhusu kisukuma hapa! 😀
Africa is the second most popular continent in the world, by now Swahili is the second most spoken language in Africa after Arabic.. Arabic isn't most prioritised because of its complexity, Swahili is way too simple from reading to writing which is why it is accepted to be one of the worlds top languages.. Hata simu za smartphone zinazokuja sasa zina option ya lugha ya kiswahili..
IMG_20180413_222818.jpg
 
Back
Top Bottom