evart
JF-Expert Member
- Sep 4, 2016
- 2,838
- 2,772
Huo upuuzi wa shengi siupendi !Kumbavu ni sheng'. Najua hujui hiyo ni nini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo upuuzi wa shengi siupendi !Kumbavu ni sheng'. Najua hujui hiyo ni nini.
Tembeza kiatu budaboss acha ufalastuka na umwere. Kwani wewe ndio headmaster wa Jf?Huo upuuzi wa shengi siupendi !
Acha uzabizabina !Tembeza kiatu budaboss acha ufalastuka na umwere. Kwani wewe ndio headmaster wa Jf?
Pereka huko ong'ong'o ya hocha wewe.Acha uzabizabina !
Yakheeeee! Uzabizabina si mzuri kwanini una husuda?Pereka huko ong'ong'o ya hocha wewe.
Sina ubaya jombaa ila acha ujuaji mwingi bana, kuwa mpole. Sawasawa?Yakheeeee! Uzabizabina si mzuri kwanini una husuda?
Ulichoandika hakina mantiki ,hebu rudia tenaSina ubaya jombaa ila huo ukoloni wako ni wa huko huko wanakokuita mzee. Sawasawa?
Don't worry wewe ukirudia rudia tena na tena ndio utaelewa. Alafu bana acha umathee mob. 😀Ulichoandika hakina mantiki ,hebu rudia tena
Nimerudia sijaelewa ni kiswahili chako cha kuungaunga kama akili za ccmDon't worry wewe ukirudia rudia ndio utaelewa. Alafu uache umathee. 😀
Hujui tofauti ya sheng na kiswahili? Kilaza mkubwa wewe! Kenya 'CCM' ilikufaga kifo cha mbwa koko, zamani sana. Imebaki tu fisiemu yenu nyinyi waswahili waoga. Yaani hata kuandamana pia mmeshindwa? Wavivu.Nimerudia sijaelewa ni kiswahili chako cha kuungaunga kama akili za ccm
Yes, ndio maana nikawataka Wa Tz wawe proud na lugha yao, Mimi kilichonichukiza ni huyo senator kutaka kiswahili kiondolewe kuna sehemu kama Delaware, na baadhi ya sehemu za Washington na kwingineko watu wanaongea kiswahili kabisa mtaani, na kuna shule nyingi sana za KISWAHILI hapa U.S since East Africa is one of the most preferable area in Africa for Vacation and Research fields..Ilikua ni kejeli na wala sio eti Kiswahili kitukuzwe kwenye facebook.
Kwa Kiingereza msemo "Don't write or speak in Greek" ndio mfano tunaweza linganisha na usemi wa huyo Seneta wa Marekani dhidi ya Kiswahili.
Hata hivyo Wakenya walimpa vidonge kwenye Twitter hatasahau.
Mbona povu mchicha mwiba wewe!Hujui tofauti ya sheng na kiswahili? Kilaza mkubwa wewe! Kenya 'CCM' ilikufaga kifo cha mbwa koko, zamani sana. Imebaki tu fisiemu yenu nyinyi waswahili waoga. Yaani hata kuandamana tu pia mnaingiza uvivu?
Boflo mkubwa wewe. Umevurugwa. Soma taarifa ya mada. Wewe unatajataja ccm hapa unadhani wakenya huwa tunafatilia siasa zenu za peni mbili? Shenz type!Mbona povu mchicha mwiba wewe!
Nani kasema ccm ipo Kenya?
Rubbish!
Boflo mkubwa wewe. Umevurugwa. Soma taarifa ya mada. Wewe unatajataja ccm hapa unadhani wakenya huwa tunafatilia siasa zenu za peni mbili? Shenz type!
"Taarifa ya mada " ooooooh! My footBoflo mkubwa wewe. Umevurugwa. Soma taarifa ya mada. Wewe unatajataja ccm hapa unadhani wakenya huwa tunafatilia siasa zenu za peni mbili? Shenz type!
Hahaha. 😀 Mwenzenu huyo anarefusha matusi na stori nyiiingi. Sijui shida yake ni nini, labda mshamba flani tu mueleze aache umama.Imetosha mkuu ,mbona mnapokwenda sipo ?
Stress zikizidi sana kajitie kitanzi. 😀😀😀"Taarifa ya mada " ooooooh! My foot
Jinga kabisa wewe ,zero brain uliyetukuka kitu gani kilikuwa kinakuwashawasha ukakimbilia kuni quote halafu unaandika matakataka?
Wazazi wako siwange tumia condom tu kuliko kutuletea matakataka ya namna hii!
Uache kurukiarukia visivyo kuhusu halafu unaandika matapishi nguruwe wewe!Stress zikizidi sana kajitie kitanzi. 😀😀😀