Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Eiih. Kiswahili chako kimeenda shule. Yaani nakikubali hicho kiswahili kabisaImetosha mkuu ,mbona mnapokwenda sipo ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eiih. Kiswahili chako kimeenda shule. Yaani nakikubali hicho kiswahili kabisaImetosha mkuu ,mbona mnapokwenda sipo ?
We jamaa una frastreshen zako tu. Utapata vidonda vya tumbo bure. Stress zitakuua bure. Usiseme hukuambiwa! 😀😀😀Uache kurukiarukia visivyo kuhusu halafu unaandika matapishi nguruwe wewe!
Shenzi kabisa" frastreshen " ndio nini ? Shuleni ulienda kukalia mkuyenge ?!!!!!!We jamaa una frastreshen zako tu. Utapata vidonda vya tumbo bure. Stress itakuua. 😀😀😀
This is shame!"Taarifa ya mada " ooooooh! My foot
Jinga kabisa wewe ,zero brain uliyetukuka kitu gani kilikuwa kinakuwashawasha ukakimbilia kuni quote halafu unaandika matakataka?
Wazazi wako siwange tumia condom tu kuliko kutuletea matakataka ya namna hii!
Mheshimiwa kuna watu hawana budi kujibiwa namna hii ilikuwafunza kidogo japo maneno ni makali lakini hakuna namna!This is shame!
You guys are better than this.
Jombaa mkaushie tu jamaa naona yasha anza matusi.We jamaa una frastreshen zako tu. Utapata vidonda vya tumbo bure. Stress zitakuua bure. Usiseme hukuambiwa! 😀😀😀
Mheshimiwa kausha tu. Mimi mbona nakuelewa tu nyote mpo vizuri sana sema ndio vile kuna wakati lugha gongana.Mheshimiwa kuna watu hawana budi kujibiwa namna hii ilikuwafunza kidogo japo maneno ni makali lakini hakuna namna!
I apologise on my part. Hamna presha. Nilitumia sheng kumueleza tu kwamba chuki zake hazina tija. Utasemaje unachukia kitu kwasababu hukielewi? Kwa mfano, mtu akaja akuambie kitu kutumia lugha yake ya asili, utamuambia unachukia lugha yenyewe au utaulizia tafsiri ya alichokisema?This is shame!
You guys are better than this.
Jameni Watanzania, huyo mbunge anatukana na kuwa na dharau na lugha ya Swahili, nyie bana. Kuna Wakenya walimjia juu kwenye mitandao ya kijamii kwa ajili ya hizo dharau.
Yaani nyie mtu akitaja neno Swahili mnashabikia bila kujua kama anakejeli au la...miafrika
rugha
inapendwa zaidi nchi ya mipaka ya TZ
Wacha upuuzi we ume-qoute nini?Mkuu hapo umeandika nini?
United states senator says Facebook user agreements sucks
Swahili is recognizable as an International language, Be proud of your Language Tanzanians, one day the whole world gonna speak it..
Kwa heriWacha upuuzi we ume-qoute nini?
Wakenya wapi hao wanaopambana??? Kenyans hao ni watumwa wa akili Haeleweki Chao ni kipi wakiona kiswahili kinachanja mbuga basi nao wamo ila sasa wakiona mtu ame type wrong kingereza wakwanza kumu attack kuwa hajui English, and they used to insult us kuwa we don't speak fluently English, Sasa wao wanao speak fluently, Where are they, Kama sio ujinga tu na Ukabila uliowajaaaHuyo jamaa alikuwa anakikejeli kiswahili bana. Yaani wakenya wanapambana ili kiswahili kipewe heshima na nyinyi hapa ndio sasa mnakenua kenua kabisa? Aisee.
Tatizo ni lugha, uelewa wa the Business Language! Wee mwanafunzi wa chuo kikuu (Iringa niliona kwenye mitandao)anaulizwa maziwa magando(mtindi) kwa Kiingereza hajui! ‘sour milk’!!!!!
Wewe wakenya wapo kwenye taasisi nyingi sana ndani na nje ya nchi na wanaongoza kwenye shughuli ya kukiendeleza kiswahili.Wakenya wapi hao wanaopambana??? Kenyans hao ni watumwa wa akili Haeleweki Chao ni kipi wakiona kiswahili kinachanja mbuga basi nao wamo ila sasa wakiona mtu ame type wrong kingereza wakwanza kumu attack kuwa hajui English, and they used to insult us kuwa we don't speak fluently English, Sasa wao wanao speak fluently, Where are they, Kama sio ujinga tu na Ukabila uliowajaaa
Hahaha. Uraibu wa Oxygen una madhara mengi sana kwa jamii! 😀Kuna video fuani ipo kwenye Whatsapp, Watanzania wanaulizwa kama wamewahi kuvuta oxygen, aisei wanakatalia balaa, kwamba hicho kitu hawajawahi kukivuta na wanashauri vijana waoandokane na uraibu huo....hehehehe