Junior Clinton Mr.
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 1,075
- 1,423
Nipe link ya social network anayopatikana nikampe makavu yanguJameni Watanzania, huyo mbunge anatukana na kuwa na dharau na lugha ya Swahili, nyie bana. Kuna Wakenya walimjia kuu kwenye mitandao ya kijamii kwa ajili ya hizo dharau.
Yaani nyie mtu akitaja neno Swahili mnashabikia bila kujua kama anakejeli au la...miafrika
NonsenseSwahili is closely associated with Kenya. That's a fact.
Safi sana Mfipa.Nonsense
Jameni Watanzania, huyo mbunge anatukana na kuwa na dharau na lugha ya Swahili, nyie bana. Kuna Wakenya walimjia kuu kwenye mitandao ya kijamii kwa ajili ya hizo dharau.
Yaani nyie mtu akitaja neno Swahili mnashabikia bila kujua kama anakejeli au la...miafrika
MK254,
Hah Hah Mkuu najua unatania na siyo mara ya kwanza kusikia msemo huo wenye maana ya andika /zungumza kwa lugha nyepesi ya Kiingereza na siyo kutumia maneno yasiyoeleweka (small print disclaimer ) ambayo kwa mzungumzaji wa Kiingereza ni kama kusoma au kusikia misemo ktk lugha ngeni (mfano Kiswahili).
Kumbe huyu kumbavu alisema hivyo? Wazungu wanajiona hao ni nani?Sitanii na kumbuka sio mimi tu nimekerwa na dharau zake hizo, kunao hata wazungu wanaomsimanga kwenye mitandao kwamba awache ubaguzi na kudharau lugha za watu. Hebu tazama hii picha hapa chini
Kumbavu ndo nn?Kumbe huyu kumbavu alisema hivyo? Wazungu wanajiona hao ni nani?
Huyo jamaa alikuwa anakikejeli kiswahili bana. Yaani wakenya wanapambana ili kiswahili kipewe heshima na nyinyi hapa ndio sasa mnakenua kenua kabisa? Aisee.Yeye alikua anachangia but matumizi ya lugha yake yalikua yana kejeli ambazo zilikua zinaonekana kuwa na ubaguzi ndani yake, lakini hoja yake ilikua ni kuongelea matumizi ya kiswahili kwa watu hata wasioelewa kiswahili
Usisahau kumpa na yangu ...[emoji36] [emoji36] [emoji36]Nipe link ya social network anayopatikana nikampe makavu yangu
Wakenya wanapambana???[emoji23][emoji23] We made Swahili to be what it is now.. Mi sijabisha Kama amekejeli but nilivyomuelewa ni kuwa anataka kiingereza kitumike instead of Swahili.. and that argument went for hours mpaka ikasambaa kwa social medias ..Kama yeye ni Racist shauri yake.. But what we're saying here is Swahili is on the level of International..Huyo jamaa alikuwa anakikejeli kiswahili bana. Yaani wakenya wanapambana ili kiswahili kipewe heshima na nyinyi hapa ndio sasa mnakenua kenua kabisa? Aisee.
Swahili is being spoken all the way in Kismayu, DRC, Brazzaville all the way to Malakal and C.A.R. A language is only powerful in proportion to the number of people who speak and understand it. Hapa hatuongei kuhusu kisukuma. 😀Wakenya wanapambana???[emoji23][emoji23] We made Swahili to be what it is now.. Mi sijabisha Kama amekejeli but nilivyomuelewa ni kuwa anataka kiingereza kitumike instead of Swahili.. and that argument went for hours mpaka ikasambaa kwa social medias ..Kama yeye ni Racist shauri yake.. But what we're saying here is Swahili is on the level of International..
Africa is the second most popular continent in the world, by now Swahili is the second most spoken language in Africa after Arabic.. Arabic isn't most prioritised because of its complexity, Swahili is way too simple from reading to writing which is why it is accepted to be one of the worlds top languages.. Hata simu za smartphone zinazokuja sasa zina option ya lugha ya kiswahili..Swahili is being spoken all the way in Kismayu, DRC, Brazzaville all the way to Malakal. A language is only powerfull in proportion to the number of people who speak and understand it. Hatuongei kuhusu kisukuma hapa! 😀
Kumbavu ni sheng'. Najua hujui hiyo ni nini.Kumbavu ndo nn?