The Ongoing discussions about Swahili to be a part of Facebook Network ..

Ilikua ni kejeli na wala sio eti Kiswahili kitukuzwe kwenye facebook.
Kwa Kiingereza msemo "Don't write or speak in Greek" ndio mfano tunaweza linganisha na usemi wa huyo Seneta wa Marekani dhidi ya Kiswahili.

Hata hivyo Wakenya walimpa vidonge kwenye Twitter hatasahau.
 
Nimerudia sijaelewa ni kiswahili chako cha kuungaunga kama akili za ccm
Hujui tofauti ya sheng na kiswahili? Kilaza mkubwa wewe! Kenya 'CCM' ilikufaga kifo cha mbwa koko, zamani sana. Imebaki tu fisiemu yenu nyinyi waswahili waoga. Yaani hata kuandamana pia mmeshindwa? Wavivu.
 
Yes, ndio maana nikawataka Wa Tz wawe proud na lugha yao, Mimi kilichonichukiza ni huyo senator kutaka kiswahili kiondolewe kuna sehemu kama Delaware, na baadhi ya sehemu za Washington na kwingineko watu wanaongea kiswahili kabisa mtaani, na kuna shule nyingi sana za KISWAHILI hapa U.S since East Africa is one of the most preferable area in Africa for Vacation and Research fields..
 
Hujui tofauti ya sheng na kiswahili? Kilaza mkubwa wewe! Kenya 'CCM' ilikufaga kifo cha mbwa koko, zamani sana. Imebaki tu fisiemu yenu nyinyi waswahili waoga. Yaani hata kuandamana tu pia mnaingiza uvivu?
Mbona povu mchicha mwiba wewe!
Nani kasema ccm ipo Kenya?
Rubbish!
 
Mbona povu mchicha mwiba wewe!
Nani kasema ccm ipo Kenya?
Rubbish!
Boflo mkubwa wewe. Umevurugwa. Soma taarifa ya mada. Wewe unatajataja ccm hapa unadhani wakenya huwa tunafatilia siasa zenu za peni mbili? Shenz type!
 
Boflo mkubwa wewe. Umevurugwa. Soma taarifa ya mada. Wewe unatajataja ccm hapa unadhani wakenya huwa tunafatilia siasa zenu za peni mbili? Shenz type!
"Taarifa ya mada " ooooooh! My foot
Jinga kabisa wewe ,zero brain uliyetukuka kitu gani kilikuwa kinakuwashawasha ukakimbilia kuni quote halafu unaandika matakataka?
Wazazi wako siwange tumia condom tu kuliko kutuletea matakataka ya namna hii!
 
Stress zikizidi sana kajitie kitanzi. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…