The Ongoing discussions about Swahili to be a part of Facebook Network ..

Uache kurukiarukia visivyo kuhusu halafu unaandika matapishi nguruwe wewe!
We jamaa una frastreshen zako tu. Utapata vidonda vya tumbo bure. Stress zitakuua bure. Usiseme hukuambiwa! 😀😀😀
 
We jamaa una frastreshen zako tu. Utapata vidonda vya tumbo bure. Stress itakuua. 😀😀😀
Shenzi kabisa" frastreshen " ndio nini ? Shuleni ulienda kukalia mkuyenge ?!!!!!!
 
"Taarifa ya mada " ooooooh! My foot
Jinga kabisa wewe ,zero brain uliyetukuka kitu gani kilikuwa kinakuwashawasha ukakimbilia kuni quote halafu unaandika matakataka?
Wazazi wako siwange tumia condom tu kuliko kutuletea matakataka ya namna hii!
This is shame!
You guys are better than this.
 
This is shame!
You guys are better than this.
Mheshimiwa kuna watu hawana budi kujibiwa namna hii ilikuwafunza kidogo japo maneno ni makali lakini hakuna namna!
 
Mheshimiwa kuna watu hawana budi kujibiwa namna hii ilikuwafunza kidogo japo maneno ni makali lakini hakuna namna!
Mheshimiwa kausha tu. Mimi mbona nakuelewa tu nyote mpo vizuri sana sema ndio vile kuna wakati lugha gongana.
 
This is shame!
You guys are better than this.
I apologise on my part. Hamna presha. Nilitumia sheng kumueleza tu kwamba chuki zake hazina tija. Utasemaje unachukia kitu kwasababu hukielewi? Kwa mfano, mtu akaja akuambie kitu kutumia lugha yake ya asili, utamuambia unachukia lugha yenyewe au utaulizia tafsiri ya alichokisema?
 
Kiswahili ni rugha ambayo inapendwa zaidi nje ya mipaka ya TZ na sio ndani ya TZ that's the fact.
 

Tatizo ni lugha, uelewa wa the Business Language! Wee mwanafunzi wa chuo kikuu (Iringa niliona kwenye mitandao)anaulizwa maziwa magando(mtindi) kwa Kiingereza hajui! ‘sour milk’!!!!!
 
United states senator says Facebook user agreements sucks



Swahili is recognizable as an International language, Be proud of your Language Tanzanians, one day the whole world gonna speak it..
Sasa na wewe unatumia Kiingereza kujadili Kiswahili na watu wanaoongea Kiswahili ili iweje?
 
Huyo jamaa alikuwa anakikejeli kiswahili bana. Yaani wakenya wanapambana ili kiswahili kipewe heshima na nyinyi hapa ndio sasa mnakenua kenua kabisa? Aisee.
Wakenya wapi hao wanaopambana??? Kenyans hao ni watumwa wa akili Haeleweki Chao ni kipi wakiona kiswahili kinachanja mbuga basi nao wamo ila sasa wakiona mtu ame type wrong kingereza wakwanza kumu attack kuwa hajui English, and they used to insult us kuwa we don't speak fluently English, Sasa wao wanao speak fluently, Where are they, Kama sio ujinga tu na Ukabila uliowajaaa
 
Tatizo ni lugha, uelewa wa the Business Language! Wee mwanafunzi wa chuo kikuu (Iringa niliona kwenye mitandao)anaulizwa maziwa magando(mtindi) kwa Kiingereza hajui! ‘sour milk’!!!!!

Kuna video fuani ipo kwenye Whatsapp, Watanzania wanaulizwa kama wamewahi kuvuta oxygen, aisei wanakatalia balaa, kwamba hicho kitu hawajawahi kukivuta na wanashauri vijana waoandokane na uraibu huo....hehehehe
 
Wewe wakenya wapo kwenye taasisi nyingi sana ndani na nje ya nchi na wanaongoza kwenye shughuli ya kukiendeleza kiswahili.
 
Kuna video fuani ipo kwenye Whatsapp, Watanzania wanaulizwa kama wamewahi kuvuta oxygen, aisei wanakatalia balaa, kwamba hicho kitu hawajawahi kukivuta na wanashauri vijana waoandokane na uraibu huo....hehehehe
Hahaha. Uraibu wa Oxygen una madhara mengi sana kwa jamii! 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…