Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,789
Mambo mazuri hayataki haraka mkuu au nakosea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WeeeeraweeeeraaaaaaEwaaaaaa piga kelele
[emoji23]Ngoja nicheke kihutu Kwanzaa
Hihiiiiiiiiiiiii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nipo mydarling wifi,My babe wifii..
Mefurahi zaidi kuona uko salama na kakangu kipenzi!!
Mie sijambo nakumiss tu my babe wifiii
Umeniwahi nilikua njiani niwie radhi furaha imezidi kikomoooooSasa kama hutaki kunisalimia nifanye mie mdogo wangu
Mwifwa kishafika sasaHahaaa. Kweli ujue.
Ahhahahaha hiiiiiii ukimaliza kucheka kihutu tukutane uhamiaji [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji13][emoji72][emoji72][emoji72][emoji72][emoji6][emoji51]Cheko ya kihutuu naijua lakini kukutana kihutu mhhhh! Nipe darasa kwanza kabla sijakurupuka.
Shukrani sana mkuu[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Hongera Mkuu mie nasubiri mwaliko wa kuja kula pilau la nguvu lenye nyama tele, viazi, zabibu, mdalasini, bizari nyembamba na mazagazaga mengine bila kusahau kachumbari ya nguvu kisha kutililia suti na dancing shoes na kujirusha usiku kucha huku tukiwapongeza. Nitaleta na debe zangu ili tujirushe vizuri.
ww meli yako mbona siioni siku hizi braza?[emoji20]
Okey mylove kuwa na amani kabisa ondoa shaka juu yanguHamna mpenzi nilikuwa napata was was tuu na ulivo msifia.
Si unajua tena lazma niwe mwangalifu
Mambo swafiiiiii nawasubiria kesho niwapeleke Morena hotel kula [emoji487] PizzaNa wewe hadi umepata nafasi ya kucheka kweli mambo safi
....ni vipiii!![emoji1][emoji1]Mambo ni hiviii