The Only One My Love moneytalk

Mpenzi nashukuru unaishi na ndugu zangu vizuri sana.
Najua kwa kukaribishana kule salam ilikuwa haina pa kuingilia
 
Eti siye si watu wanajua kuwa twapendana tayari kias hatuhitaji kifungua siredi
Kuna utaratibu wa posa, kutangaza siku kadhaa sherehe itakapofanyika, hayo yote ni kuwahabarisha watu juu ya kilichopo miongoni mwa wahusika.

Kama yupo alikuwa ana nia naye akiona/hizo habari atafanya maamuzi mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…